Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,493
- 5,591
Thor droid vpn , kwa mtandao wa tigoVpn gan mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thor droid vpn , kwa mtandao wa tigoVpn gan mkuu
Hawa wahuni sio kwamba ndio Mb zako unapiga nazo picha kama kipindi kile. Mtandao haufanyi kazi ila umelipia bando.AIRTEL SME.
Gharama ya Activation ni 10000/= tu!
Piga /Whatsapp: 0710535327
Mkataba unaisha baada ya mda gani ? Sikusoma kipengele ata kimoja siku nasaini mimi nilikuwa nawaza hizo gbs TU , tena walijaza Kila kitu wenyewe nakakabidhi nakacharaza wino nikasempa.Yah ni kweli sijui mkataba ukiisha itakuaje
Kipindi kipi mkuu,..?Hawa wahuni sio kwamba ndio Mb zako unapiga nazo picha kama kipindi kile. Mtandao haufanyi kazi ila umelipia bando.
watu wa Kimara zamu yenu itafika mkuu, hata ungekua wewe ndo CEO wa Zuku lazima ungeweka kwanza kwa washua wa Kariakoo na Kinondoni upige mihela😅Wale wasenge wa Zuku wanakera kinoma. Yani badala waunganishe maeneo yote ya Dar wao wamekazania kuwaunganisha washua na wafanyabiashara wa eneo la Ilala tu na Kinondoni.
Thats why watu wako na Voda ingawa malalamiko ni mobHawa wahuni sio kwamba ndio Mb zako unapiga nazo picha kama kipindi kile. Mtandao haufanyi kazi ila umelipia bando.
Hahahah ila uonevu huo. Watumiaji tuko wengi banawatu wa Kimara zamu yenu itafika mkuu, hata ungekua wewe ndo CEO wa Zuku lazima ungeweka kwanza kwa washua wa Kariakoo na Kinondoni upige mihela😅
Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid.
Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
Kwa maana we Airtel unaijua kuliko sisi.Kipindi kipi mkuu,..?
Umewahi kupata changamoto yeyote?
Du mb 30 ndiyo inaitwa super kasi? Kweli Bongo bado sana. Sehemu niliko sasa hivi kwa sh za kitanzania 63, 000 kwa mwezi napata 1000 mbpsSpeed yake ni mpaka mb 30 kwa matumizi ya kawaida poa sana. Kustream movies ila mimi naitumia sana kwenye video calls. Iko poa kwa kweli maana naunga laptops mbili, TV, na simu 4
Inakuaje hii toa elimuNatumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Akikujjibu nitag nami nifahamuHii post paid ipoje
Kuna errors zinatokea, ila ni Nadra sanaaaa...Kwa maana we Airtel unaijua kuliko sisi.
Mwaka mmoja japo wengine miaka miwiliMkataba unaisha baada ya mda gani ? Sikusoma kipengele ata kimoja siku nasaini mimi nilikuwa nawaza hizo gbs TU , tena walijaza Kila kitu wenyewe nakakabidhi nakacharaza wino nikasempa.
Moja ya hasara nilipata kutokana na kutosoma ni kuwa BANDO zako zote zitafutika wakati line yako inamishwa kutoka mfumo wa kawaida kwenda postpaid,
Hebu nielekezeNatumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Naomba maelekezo jamani. Maana matumizi yamezidi.Natumia proxy server nimehost mwenyewe, nalipia 10000 kila mwezi, unlimited.
Meaada nisaidieNi kawaida kama vpn au proxy software zinavyo tunnel connection, mfano ha tunnel, lakini hii nimehost mwenyewe siwezi share na mtu cause once ikiwa public isp wanafahamu na kuku block, kwenye server nimehost v2ray.