Unatumia kwa muda gani gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumwachia mtu mwingine?

Unatumia kwa muda gani gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumwachia mtu mwingine?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu unatumia kwa muda gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumpa mtu mwingine?

Je ni mwaka 1 au miaka 2, 3, 7, 10?
 
Hadi ifike 1M kwene odometer, magar mengi baada ya happo husumbua sana nami usumbufu siuwezi
 
Hivi bado kuna watu wananunua gari zilizochoka ktk zama ambazo unaweza kupata gari nzuri sana isiyo na kipengele chochote?
 
Leo hii kuna tugari twangu tubrevis nimetuangalia nimesema siiuzi tena. Week iliyopita niliiweka sokoni. Mtu kanifata na hela mbuzi. Siuzi teeeeena.
 
Bado naitumia.


FB_IMG_17309440502022395.jpg
 
Ww unaletewa kmechoka je kuna kufa mara 2 s uliletewa ishatumika
Kwani unadhani mie mwenyewe sipendi kutumia 0 km?
Bado sijafikia, sio kufikia tu, hata kukaribia huko.
Maisha yapo kwa level, kuna mtu anaisubiria ishuke thamani iwe milioni 5 hivi, akitia milioni 2 kuirekebisha nae anakuwa na chuma ya kutembelea ana vimbia
 
Back
Top Bottom