Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

Mmh
 
Mimi nilimwambia "naomba upange muda wako vzr tukato......" akaanza kunichana ohoo wewe huna maneno ya mahaba na hujui kutongoza, hata kunidanganya umeshindwa.

Nikamwambia sipendagi uongo, nikamwachia namba, nikamwambia ukiwa tayari utanicheki nikasepa. Baada ya siku 3 alinichek nikapiga
 
Kwanza jua HAIBA yake...halafu umtokee kwa kadiri ya aina.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…