Asante sana Mkuu, nitajaribu njia yako hii.Kama nimeunguza sufuria kwa ndani huwa nachemshia maji na chumvi ..kule kuungua kuna yeyuka halafu natumia sabuni ya vyombo ya maq (ya maji) na vile visugulia sufuria vinavyo uzwa kwasasa.... Yani sufuria zinangaa na hutumii nguvu...... Hata sabuni ya magadi nayo nzuri kwa kungarisha.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja nitege hapa, nione wanaounguzaga mboga. [emoji28][emoji28]
Wale mabechala wenzangu tunaoyatupaga kama boxer chafu tujuane πHabari wana jukwaa hili
Wakati mwingine mtu unapika chakula inatokea bahati mbaya kinangua sana hadi chombo kinakuwa cheusi( kwa sisi wenye masufuria ya kaida). Au nje ya sufuria ukipikia mkaa inakuwa nyeusi, kusafisha kirahisi ili iwe rahisi kufaya sufuria zetu ziwe na mng'ao wa awali.
Wakati wa kuosha unasugua hadi unachoka ila chombo kinagoma kabisa kurudia ile hali yake ya awali.
Tujuzane njia rahisi ya kusafisha.