Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Una kitu ila kukifikisha ueleweke inaleta shida kidogo.Kusimama site bila kuwa na idea ya ujenzi ni sawa na Bure mfano unakuwa site wakati wa setting ya msingi adi unakamilisha kuakikisha vipimo viko sawa unaacha wanaoendelea unaludi wakati wa nyumba imefika madilisha kuakiki vipimo Kwa madirisha then wakati wa kufunga lenta unakuwa nao sambamba kuhusu kukuibia inategemeana na fundi mkuu kama ajielewi bas imekula kwako
Mkuu hiyo njia ya kuwasilisha ujumbe inaitwa confuse them wakati nikiwa masomoni prof aliniambia utakiwi hata mm(prof) sitoi code zote Kwa wanafunzi wote ila Kuna ambaye nikimuona Yuko unique Nampa maarifa ya ziada ambayo wengine awatapata maisha yao yote.Una kitu ila kukifikisha ueleweke inaleta shida kidogo.
Hapo unaweza kupona.. Kuna wale yuko na pesa yote ya ujenzi halafu hajui chochote kuhusu ujenzi, mbaya zaidi muda wa kukaa site hanaInategemea mnajenga nini ila kwa sisi wa vibanda fundi sijui ataniibia nini maana material napeleka site kidogokidogo kama cement mifuko kwa siku kama miwili ndo hiyo inayoenda ikifika huko kwenye finishing hivyohivyo na nakuwa naenda kwa kushtukiza napiga chabo kidogo then nasepa
Kuna fundi anaanza kukuibia kuanzia dukani mnanunua materials, anawaseti mapema kabisa jamaa wadukani..fundi mwenyewe tu aamue kutokukupiga, ila akitaka, atakuibia wala hutajua. niliibiwa sementi na nondo sana. recently kwenye bati akapiga mahesabu ya extra bati kama 18 hivi, siku mbili za kuezeka sikwenda popote, nilikaa pale pale site wanapokata kila bati naangalia, hata chakula waliniletea, zikabaki bati kama 18 hivi tena za hawa sunbank, bati nzuri kabisa. nikaita kirikuu nikaondoka nazo hadi home. hawakuamini macho yao. imagine bati hizi zote, nategemea kujengea servant quater pembeni yake soon. na zitatosha kwasababu ni ndefu.
nilichofanya, bati nilienda mwenyewe bila fundi kujua naenda kiwanda gani, mbao nilienda mwenyewe wakaweka dawa nipo hapo na kupakia na kuzipeleka site, misumari na vifaa vyote nilinunua. nikawapelekea, na sikutoka hadi nyumba imeezekwa, napiga doria miguu iliuma siku hizo mbili manake muda wote nipo wima, nazunguka nyumba na kurudi pale kwenye vifaa, na mimi ndio nawagawia vifaa wanapotumia. niliwaambia tu ukweli kuwa huwa siwaamini mafundi, hivyo walinisamehe nadhani kwamba jamaa hatuamini lakini ni haki yake kutokutuamini mwacheni tu. hadi misumari iliyobaki niliondoka nayo.Kuna fundi anaanza kukuibia kuanzia dukani mnanunua materials, anawaseti mapema kabisa jamaa wadukani..
Uliwaweza aisee sio wote wenye kukaba Hadi penatinilichofanya, bati nilienda mwenyewe bila fundi kujua naenda kiwanda gani, mbao nilienda mwenyewe wakaweka dawa nipo hapo na kupakia na kuzipeleka site, misumari na vifaa vyote nilinunua. nikawapelekea, na sikutoka hadi nyumba imeezekwa, napiga doria miguu iliuma siku hizo mbili manake muda wote nipo wima, nazunguka nyumba na kurudi pale kwenye vifaa, na mimi ndio nawagawia vifaa wanapotumia. niliwaambia tu ukweli kuwa huwa siwaamini mafundi, hivyo walinisamehe nadhani kwamba jamaa hatuamini lakini ni haki yake kutokutuamini mwacheni tu. hadi misumari iliyobaki niliondoka nayo.
Naomba nikuambie ulikutana na fundi kilaza, kuna mafundi ukimwekea ulinzi mkali ndio anakuibianilichofanya, bati nilienda mwenyewe bila fundi kujua naenda kiwanda gani, mbao nilienda mwenyewe wakaweka dawa nipo hapo na kupakia na kuzipeleka site, misumari na vifaa vyote nilinunua. nikawapelekea, na sikutoka hadi nyumba imeezekwa, napiga doria miguu iliuma siku hizo mbili manake muda wote nipo wima, nazunguka nyumba na kurudi pale kwenye vifaa, na mimi ndio nawagawia vifaa wanapotumia. niliwaambia tu ukweli kuwa huwa siwaamini mafundi, hivyo walinisamehe nadhani kwamba jamaa hatuamini lakini ni haki yake kutokutuamini mwacheni tu. hadi misumari iliyobaki niliondoka nayo.
Ulikuwa unatengeneza maini na mioyo nini? Yaani huo usumbufu Bado TU nakuvumilia, labda uwe unanifanyia bureNaomba nikuambie ulikutana na fundi kilaza, kuna mafundi ukimwekea ulinzi mkali ndio anakuibia
Niliwahi kupita huko 60% ya maboss hawavijui vifaa vya ujenzi kwa majina hasa hasa vya finishing
Mm nakuagizia tu vingi ukienda mwenyewe dukani ukaniletea navikataa kuwa havifai au ni vibovu urudishe, kwanza hapo nakukomoa ujuaji wako nikuingize gharama
Ukileta tena mwenyewe kwenye duka unalolijua wewe nakataa vile vile na bahati nzuri mm nilikuwa ni fundi ambae nina maisha mengine nje na ufundi hivyo sikuwa na njaa
Kuna mda umeshanipa advance hata kazi yako nmeifanya robo ukiendelea kuzingua na kazi yako naikataa nakwambia tafuta fundi mwingine mm staki niharibu kazi (nitaharibu jina langu kwa material mabovu unayoniletea) kuna vitu fake kibao kwanini tusiende wote kununua
Yaani mimi nilikuwa naenda site na gari maboss wengine wanakuja kwa mguu au boda boda kisha wasiniamini sasa hizo si zarau
Ukitaka usiibiwe tafuta pesa kwanza mlipe vzr fundi ni fundi mjinga pekee anaweza lipwa vizuri then akaiba
Ndio kama hutaki utafte fundi mwingine, nafanyaje kazi na boss njaa boss unabana mpaka misumali kweliiiiUlikuwa unatengeneza maini na mioyo nini? Yaani huo usumbufu Bado TU nakuvumilia, labda uwe unanifanyia bure
Au tuseme, bora upigwe na Ndugu kuliko kupigwa na wandewa.Tafuta Ndugu yako unayemwamini mpe asimamie huo ujenzi mlipe Hela/posho Kwa ajili ya usimamizi
Baada ya hizo bati kubaki, wao mafundi walisemaje ilihali .makadirio waliyokupa zilitakiwa ziishefundi mwenyewe tu aamue kutokukupiga, ila akitaka, atakuibia wala hutajua. niliibiwa sementi na nondo sana. recently kwenye bati akapiga mahesabu ya extra bati kama 18 hivi, siku mbili za kuezeka sikwenda popote, nilikaa pale pale site wanapokata kila bati naangalia, hata chakula waliniletea, zikabaki bati kama 18 hivi tena za hawa sunbank, bati nzuri kabisa. nikaita kirikuu nikaondoka nazo hadi home. hawakuamini macho yao. imagine bati hizi zote, nategemea kujengea servant quater pembeni yake soon. na zitatosha kwasababu ni ndefu.