ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
°Kuwa mwaminifu kwa fundi, mlipe stahiki zake vizuri kwa wakati. Usimpige sana kwenye ufundi(sijui hata unajua kumpiga ni kiaje ila usimpige sana), mlipe vizuri.
°Omba sana upate fundi mwaminifu, maana wapo wachache sana kwa sasa.
°Kuwa na ABCs za ujenzi hatua kwa hatua, walau basi ujue materials, ratio, hesabu za kujumlisha na kutoa.
°Simamia mwenyewe, kuanzia mwanzo hadi mwisho. Usiamini hata ndugu wa damu, unless unataka nae apate walau kidogo kuanza ujenzi wake.
°Fuatilia materials mwenyewe huko dukani, fanya due delegence ya vifaa na bei zake, ikiwezekana maduka tofauti ili upate kilicho bora kwa reasonable price.
°Usikurupuke, nenda step kwa step hasa wale ndugu zangu mnaojengea kwenye karatasi then mnahamishia site huku pesa ikiwepo tayari 100%.
°Wenye maduka wakitaka kumpa fundi asante usione wivu, ndivyo Tanzania inavyoenda. (Mf. Umeenda na fundi kununua mbao, bati nk, akipewa 20k usione wivu).