Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
😂😂😂Acha kunijaza Bungalow wanajenga wakuu. Sisi hatuna maelezo yakutoa, sisi hapo palipofika patasubiri kwanzaNilimaanisha kabisa.Akiwa anachimba msingi hawezi kuiba😂
Umeiva vizuri kwenye makadirio ya materials, maana hiyo ni profession kabisa wenyewe huitwa quantity surveyors
Vipi ile site yetu bado inaendelea au umesimama? 😂
Nataka kuwa inspired na hilo bungalow lako, nami nishushe langu😂😂
Akiwaa anachimba msingi ataoverstate price kwangu halafu kwa atakaowapa dili atawapunja😂