Unatumia mbinu gani usipigwe na mafundi kwenye ujenzi?

Kuna fundi anaanza kukuibia kuanzia dukani mnanunua materials, anawaseti mapema kabisa jamaa wadukani..
Hii kitu umenikumbusha mbali sana ndugu yangu. Hasa pale Buguruni (Dar) kwenye mbao kuna Wezi Wabobevu. Unapigwa na kitu kizito kichwani huku unaona. Tena ni afadhali usiende na Fundi watakupiga kidogo, ukijifanya wewe ni mfuatiliaji na mbishi fundi anawatonya pale pale huku unaona na wanakushughulikia ipasavyo.
 
Tafuta MTU anayejua anataka nini katika MAISHA yake.

MTU anayejua anataka nini hatoweza kuiba hata msumari mmoja.

Kazi inajengwa ktk credibility and Trusting

Fanya kazi na MTU anayepambana kukua katika kazi yake na hao wapo wengi tu na wanafanya kazi vizuri.

Then zingatia kuwa recommendation ukihitaji MTU safi na ambaye anajua kuwa uaminifu ndo msingi wa yeye kupata kazi zaidi check me.

I will recommend to you the right person and you will never regret.
 
Kusimama site bila kuwa na idea ya ujenzi ni sawa na Bure mfano unakuwa site wakati wa setting ya msingi adi unakamilisha kuakikisha vipimo viko sawa unaacha wanaoendelea unaludi wakati wa nyumba imefika madilisha kuakiki vipimo Kwa madirisha then wakati wa kufunga lenta unakuwa nao sambamba kuhusu kukuibia inategemeana na fundi mkuu kama ajielewi bas imekula kwako

Lets say ndo ujenz wako wakwanza ni vipi utajua makosa na kujifunza tips za ujenzi bila kujipa muda kwenye site zako husika? Nafikiri idea zinapatikana kwenye ujenz kwenyewe ili hue pro badae usikae site.
 
Naomba nikuambie ulikutana na fundi kilaza, kuna mafundi ukimwekea ulinzi mkali ndio anakuibia

Niliwahi kupita huko 60% ya maboss hawavijui vifaa vya ujenzi kwa majina hasa hasa vya finishing

Mm nakuagizia tu vingi ukienda mwenyewe dukani ukaniletea navikataa kuwa havifai au ni vibovu urudishe, kwanza hapo nakukomoa ujuaji wako nikuingize gharama

Ukileta tena mwenyewe kwenye duka unalolijua wewe nakataa vile vile na bahati nzuri mm nilikuwa ni fundi ambae nina maisha mengine nje na ufundi hivyo sikuwa na njaa

Kuna mda umeshanipa advance hata kazi yako nmeifanya robo ukiendelea kuzingua na kazi yako naikataa nakwambia tafuta fundi mwingine mm staki niharibu kazi (nitaharibu jina langu kwa material mabovu unayoniletea) kuna vitu fake kibao kwanini tusiende wote kununua

Yaani mimi nilikuwa naenda site na gari maboss wengine wanakuja kwa mguu au boda boda kisha wasiniamini sasa hizo si zarau

Ukitaka usiibiwe tafuta pesa kwanza mlipe vzr fundi ni fundi mjinga pekee anaweza lipwa vizuri then akaiba
Mm ningekutimua fasta na kumuita fundi mwingine
 
Kupigwa lazma upigwe tu, anapigwa mgonjwa mahututi itakuwa wewe mtu mwenye afya kabisa. Uadilifu ni tatizo kubwa sana nchini na tunaishi nalo hivyo hivyo tu bongo kila mtu mwizi hata kiongozi wako wa dini ni mpigaji. Usiangalie kupigwa hakikisha tu kazi imefanywa kwa ubora wa juu.
 
Mm ningekutimua fasta na kumuita fundi mwingine
Hii sekta ina vitu vingi sana mkuu, kuna maboss wengine wamepata zari tu la hela ghafla na kuamua kujenga, wakiwa hawana msingi, mtu anajenga bila kujua badget kamili ya jengo lake hivyo kuna boss kuishiwa pesa na fundi ukabaki unadai ama hata kuzulumiwa kabisa

Sasa miongoni mwa vitu nlikuwa nazingatia ni kuchukua advance mapema mkuu, maanake ukinitimua mm nakuwa sina hasara ila wewe utaingia hasara kumlipa tena fundi mwingine
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu ujue suala la kuiba buana ni kama hulka tu,, nikiwaza kuna mkurugenzi wa halmashauri kafutwa kazi kisa mil 2, kwann mm nsiibe misumali
Kuibia mtu mmoja si sawa na kuibia Gavo. Mtu mmoja atasuffer sana ila Gavo angalau ingawa miradi ya maendeleo itakwama
 
Yaani unakuta anaeogopa kuibiwa na fundi,iyo ela ya kujengea nayeye katoka kupiga mahahali.hasa hawa wa serikalini.
 
Naomba nikuambie ulikutana na fundi kilaza, kuna mafundi ukimwekea ulinzi mkali ndio anakuibia

Niliwahi kupita huko 60% ya maboss hawavijui vifaa vya ujenzi kwa majina hasa hasa vya finishing

Mm nakuagizia tu vingi ukienda mwenyewe dukani ukaniletea navikataa kuwa havifai au ni vibovu urudishe, kwanza hapo nakukomoa ujuaji wako nikuingize gharama

Ukileta tena mwenyewe kwenye duka unalolijua wewe nakataa vile vile na bahati nzuri mm nilikuwa ni fundi ambae nina maisha mengine nje na ufundi hivyo sikuwa na njaa

Kuna mda umeshanipa advance hata kazi yako nmeifanya robo ukiendelea kuzingua na kazi yako naikataa nakwambia tafuta fundi mwingine mm staki niharibu kazi (nitaharibu jina langu kwa material mabovu unayoniletea) kuna vitu fake kibao kwanini tusiende wote kununua

Yaani mimi nilikuwa naenda site na gari maboss wengine wanakuja kwa mguu au boda boda kisha wasiniamini sasa hizo si zarau

Ukitaka usiibiwe tafuta pesa kwanza mlipe vzr fundi ni fundi mjinga pekee anaweza lipwa vizuri then akaiba
Ntakupigaa makofi mbele ya saidia fundi wako
 
Mkuu hiyo njia ya kuwasilisha ujumbe inaitwa confuse them wakati nikiwa masomoni prof aliniambia utakiwi hata mm(prof) sitoi code zote Kwa wanafunzi wote ila Kuna ambaye nikimuona Yuko unique Nampa maarifa ya ziada ambayo wengine awatapata maisha yao yote.
Unachosema ni kweli kabisa hata wagonjwa wa akili huwa wanajiona wako sawa kabisa kwa wanachokiongea na kukifanya ilhali ni tofauti na mawazo wanayojiona kuwa wapo sahihi.
 
Naomba nikuambie ulikutana na fundi kilaza, kuna mafundi ukimwekea ulinzi mkali ndio anakuibia

Niliwahi kupita huko 60% ya maboss hawavijui vifaa vya ujenzi kwa majina hasa hasa vya finishing

Mm nakuagizia tu vingi ukienda mwenyewe dukani ukaniletea navikataa kuwa havifai au ni vibovu urudishe, kwanza hapo nakukomoa ujuaji wako nikuingize gharama

Ukileta tena mwenyewe kwenye duka unalolijua wewe nakataa vile vile na bahati nzuri mm nilikuwa ni fundi ambae nina maisha mengine nje na ufundi hivyo sikuwa na njaa

Kuna mda umeshanipa advance hata kazi yako nmeifanya robo ukiendelea kuzingua na kazi yako naikataa nakwambia tafuta fundi mwingine mm staki niharibu kazi (nitaharibu jina langu kwa material mabovu unayoniletea) kuna vitu fake kibao kwanini tusiende wote kununua

Yaani mimi nilikuwa naenda site na gari maboss wengine wanakuja kwa mguu au boda boda kisha wasiniamini sasa hizo si zarau

Ukitaka usiibiwe tafuta pesa kwanza mlipe vzr fundi ni fundi mjinga pekee anaweza lipwa vizuri then akaiba
utafanya hivyo kama fundi upo peke yako, ila kama kuna wenzio wanamezea mate hiyo hiyo nyumba, utakubali tu yaishe. bati niliagiza kiwandani kwa vipimo vya nyumba, vifaa vyote vya umeme nilienda kununua mimi mwenyewe. niko makini na haikuwa mara yangu ya kwanza kujenga, washaniibia sana miaka ya nyuma. hasa cement na nondo. kwangu mimi kama huendani na masharti yangu, nakufukuza naweka fundi mwingine. wala sisumbui akili wakati pesa nilitafuta kwa jasho langu.
 
Back
Top Bottom