Akiwa anachimba msingi hawezi kuiba😂
Umeiva vizuri kwenye makadirio ya materials, maana hiyo ni profession kabisa wenyewe huitwa quantity surveyors
Vipi ile site yetu bado inaendelea au umesimama? 😂
Nataka kuwa inspired na hilo bungalow lako, nami nishushe langu😂😂