jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Medicated soaps sio nzuri zinaua normal skin bacteria.Kuna watu niliwakuta wakisema chanzo cha fungus nyingi za wanawake ni sabuni za kutengeneza za wajasiriamali. Sio salama maana hawana vipimo maalumu vya kemikali na inaua bakteria wazuri na kuleta fungus. I was shocked.
Nilivo muumini wa harufu nzuri itabidi niitafute
Hii ukiwa unaitumia nyumbani hata ukienda ugenini inapunguza maswali 🤣Punguza uhuni mkuu[emoji3][emoji3]..
Kidding.
Sabuni ya unga
Ukiiangalia tu inakuhamasisha ukaoge tena[emoji16]....mm ikiniishia nitaitafuta hiyo cku mpaka niipate. Mana mpaka sasa sijaona mbadala wake.Ooh. Woow.. mimi kwakweli nazipenda sana. Mno. Ni nzuri sana. Harufu yake tamu sana
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
iko powa sana...unajua kuna zile sabuni ambazo zina harufu mpaka zinakera,mpaka kichwa kinauma. Lakini hii kiharufu kimetulia, sijui wameweka nn mule ndani.Nilivo muumini wa harufu nzuri itabidi niitafute
Huku ni 4500 nyie wanawapiga 5000Citron mnara buku tano inaharufu nzuriiiii
Normal flora..ni muhimu mwilini mwako..kila sehemu ya mwili wako iko na bacteria wazuri..just go and read dude usinichoshe na kukosa kwako elimu.Normal skin bacteria unawapeleka wapi wakati athari yao ni kubwa kuliko faida?
Wanaleta muwasho, vipele na hata magonjwa.
Wenye umuhimu ni wale bacteria wa sehemu za siri za wanawake ba utungo/nta ya masikioni.
Bacteria wengine wenye faida ni wapi?
Ha ha ha hizi nikiendaga moshi ndo natumiaga sana maana ndo sabuni za kuogea kule. Bibi anazipenda mno. Toka nazaliwa miaka hiyooo bibi ndo sabuni zake aisee.. yaani ukiogea jioni na maji ya moto jamani hutoki kwenye shower[emoji23] najiulizaga bibi anaoga nn 2 hours bafuni kumbe sabuni inahamasisha..Ukiiangalia tu inakuhamasisha ukaoge tena[emoji16]....mm ikiniishia nitaitafuta hiyo cku mpaka niipate. Mana mpaka sasa sijaona mbadala wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini sasa jomoneeeh lolHahaha hah
Usisahau kumpelekea Bibi zawadi ya sabuni yake aipendayo....mchukulie hata za 30,000 tu....Atafurahi sana.Ha ha ha hizi nikiendaga moshi ndo natumiaga sana maana ndo sabuni za kuogea kule. Bibi anazipenda mno. Toka nazaliwa miaka hiyooo bibi ndo sabuni zake aisee.. yaani ukiogea jioni na maji ya moto jamani hutoki kwenye shower[emoji23] najiulizaga bibi anaoga nn 2 hours bafuni kumbe sabuni inahamasisha..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app