Unatumia sabuni gani kuogea?

Hahaha way back, nalikumbuka hilo tangazo. Mdada mmoja hivi mwembamba ndio alikuwa anajibu hivyo.

Hivi lile tangazo la Omary acha kujikuna ngwalaaa.... ngwalaaa.. lilikuwa tangazo la sabuni gani?
Omari! Ni kazi gani unafanya..! Kazi kujikuna tu ngwaara ngwaara...hebu chukua hiki kioo kipeleke kulee!

Ooomari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…