Unatumia sabuni gani kuogea?

Unatumia sabuni gani kuogea?

Kumbe, ngoja nitulie hapa njia kuu kwenye magadi
Wewe mtoto wa juzi, sisi enzi zetu japo ni wanaume, tulikuwa tunaogea GIV ya Spaniola halafu ukioga hujifuti sana ili ukienda kumtongoza kabinti kasikie harufu ya GIV
images%20(63).jpeg
 
Hahaha way back, nalikumbuka hilo tangazo. Mdada mmoja hivi mwembamba ndio alikuwa anajibu hivyo.

Hivi lile tangazo la Omary acha kujikuna ngwalaaa.... ngwalaaa.. lilikuwa tangazo la sabuni gani?
Omari! Ni kazi gani unafanya..! Kazi kujikuna tu ngwaara ngwaara...hebu chukua hiki kioo kipeleke kulee!

Ooomari.
 
Back
Top Bottom