Unatumia sabuni gani kuogea?

Dah! Roberts medicated...revola kitambo sana aisee

Imperial+Jamaa ndio sabuni zangu pendwa
 
Sabuni yangu ilikua geisha nyeupe toka shule ila baada ya maisha ya nyumbani na shule nikahamia magharibi ya Tz nikakutana na sabuni toka Burundi ziko poa sana nikawa addicted

Hapo hata nikiwa safarini au hotelini nina packet yangu kwa bag
 
Sabuni zangu ni hizi zifuatazo;

Imperial
Lux
Dove shower gel
Olay shower gel &
Palmolive shower gel.

Natumia zote kwa kupokezana either asubuhi na jioni.
 
Umenikumbusha mbali lile tangazo la revola Redio Tanzania Dar es salaam. miaka ya 93 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…