wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Mi mwenyewe ni miongoni mwaoKuna watu wanaogea sabuni za kuoshea vyombo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe ni miongoni mwaoKuna watu wanaogea sabuni za kuoshea vyombo
Unaongelea hiki?Hivi kile kikaratasi cha kwenye "EMPERIAL" mbona huwa akiishagi au hakilowi na kuchanika! Utaoga weee utamaliza sabuni yako baada ya wiki 2 lakini kile kikaratasi pale kinabaki vile vile!
Huwa najiuliza sana, kile kikaratasi kinadumu sana, sijui nini siri ya mafanikio
Itakuwa chuma hikiNifanya uchunguzi nikagundua ni uchawi tu umefanyika.....
Nimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni nzuri sana.
Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo lake luningani. Pia wangapi wanakumbuka sabuni ya Robert Medicated Soap? Siku hizi hizo sabuni kama zimepotea hivi.
Je, kwa sasa huwa unatumia sabuni gani wakati wa kuoga?mimi siku hizi sijui kwaajili ya ubahili, natumia tu Jamaa zile za Kenya. Wewe je? Tiririka...
Tupo pamojaMimi natumia sabuni inaitwa JAMAA
Unaongelea hiki? View attachment 1268781
Nahisi itakuwa material kama ya aluminium foil hivi na sio karatasiha ha haaa nimecheka sana, ndio hiki mkuu! hiki kikaratasi mpaka leo kinanipaga maswali mengi!
Unaongelea hiki? View attachment 1268781
Ile ambayo wanaosheaga na kufuria ilee
Ndicho nilichokimaanishaItakuwa chuma hikiView attachment 1268785