Unatumia sabuni gani kuogea?

Unatumia sabuni gani kuogea?

Hivi kile kikaratasi cha kwenye "EMPERIAL" mbona huwa akiishagi au hakilowi na kuchanika! Utaoga weee utamaliza sabuni yako baada ya wiki 2 lakini kile kikaratasi pale kinabaki vile vile!

Hahahahahaha huwiiii hata haieleweki
 
Kwa jinsi watu walivoitaja hiyo jamaa nami nimetamani kuijua au kama nimeshawahi itumia bac nahisi nimechanganyikiwa kwa kushindwa kuivutia taswira.. picha pls
Ni sabuni ya kipande/ya mche
 
Lakini kwa wenye ngozi zenye mafuta hilo tatizo halipo. In fact mimi sijawahi kupaka mafuta tangu nianze form 1 boarding na sipauki
Unazungumzia usoni tu ama


Mana nna oily skin pia ila kuanzia kwenye shingo kushuka chini ni kavuu u must moisturize

Labda pia huogei maji chumvi
 
Wazee kuna sabuni inaitwa CITRON huyu n mbadala halisii wa JAMAA grade II, yafaa mno kwa kuogea na kufulia..
Bei yake imechangamka kidogo mche ni 5.5k
Hyo citron nzuri sana, napenda harufu yake
 
Back
Top Bottom