Unatumia sabuni gani kuogea?

Unatumia sabuni gani kuogea?

Mimi natumia Himalaya Herbals Refreshing Cucumber Soap
 
Hivi kile kikaratasi cha kwenye "EMPERIAL" mbona huwa akiishagi au hakilowi na kuchanika! Utaoga weee utamaliza sabuni yako baada ya wiki 2 lakini kile kikaratasi pale kinabaki vile vile!
Unaongelea hiki?
20191122_084756.jpeg
 
Sie wengine hatuna sabuni maalum ni yoyote itakayokuwepo tu, mfn saivi natamba na "...arhaba" hiyo herufi ya kwanza imekatwa nahisi itakuwa "M"
 
Shower gel ndo mwisho wa uchafu wote mwilini. Hadi mba zinatoka. Achana kuogea na sabuni za vipande. Hazina mvuto kwa sasa.
Ukitumia shower gel huji kujilaumu. Take may word
Nimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni nzuri sana.

Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo lake luningani. Pia wangapi wanakumbuka sabuni ya Robert Medicated Soap? Siku hizi hizo sabuni kama zimepotea hivi.

Je, kwa sasa huwa unatumia sabuni gani wakati wa kuoga?mimi siku hizi sijui kwaajili ya ubahili, natumia tu Jamaa zile za Kenya. Wewe je? Tiririka...
 
Back
Top Bottom