Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Viazi vya kuchemsha-kutoka shambani kwangu
Chai vikombe 2/maji glass 3 inategemea na uwepo wa griss
 
Mbele ya supu natoa dharura nyumbani, supu moja ya 1500/=
Chapati mbili ila nikipata maandazi ya mafuta ndo usiseme. Kwa ufupi naweza kuacha elfu 3 - 4 kifungua kinywa.
 
Mbele ya supu natoa dharura nyumbani, supu moja ya 1500/=
Chapati mbili ila nikipata maandazi ya mafuta ndo usiseme. Kwa ufupi naweza kuacha elfu 3 - 4 kifungua kinywa.
Maandazi ya mafuta ni yakoje hayo?
 
Supu ya mbuzi na dawa ya porini
Gharama: natoa zizini.
 
Chai huwa sinywi Mimi hupendelea maziwa au kokoa,na karanga za kukaanga na silesi tatu za mkate
 
Chapati 3@300=900
Mtori 1000
Juice (matunda)=500
Maji (masafi)=500
 
2000=chai 500+chapati 500+Bagia 500+yai 500.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…