miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
kipolo na kisamvu cha 300
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaNdo mana vijana wa dar hamna nguvu za kiume sasa vitumbua vya nini ww mwanaume?
unakula nn?Tshs.500/= tosha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jpili utaniona kama utakuwepoAaah..ndio maana sikuoni kulee
oooho! sawa.Utumbo wa ng'ombe boss
Ila wanawake wa Dar wananguvu za kike sijui wanakula nini nao!?Ndo mana vijana wa dar hamna nguvu za kiume sasa vitumbua vya nini ww mwanaume?
ningeshangaa nisingekuona hapa homie
[emoji3]Hahahahahahahaa unanichokoza eeehhh...
Yaani kila siku lazima joints zipate nyufa [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahaha miaka miwili mbele joints zote za bega hazifai
2000=chai 500+chapati 500+Bagia 500+yai 500.Heshima yenu wadau.
Nimekaa muda huu nikakumbuka kifungua kinywa changu. Nimekula vitumbua 10 na supu ya utumbo.
Kitumbua kimoja shilingi 100 hivyo nimetumia 1000 kwa ajili ya vitumbua. Supu ni 500.
Jumla asubuhi nimetumia 1500.
Mwenzangu unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya asubuhi?