Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Dah! Sijui hata nikueleweshe kwa lugha gani uelewe maana kwetu tunaita hivo kwenu sijui mnaitaje. Lakini ninayozungumzia ni yale maandazi unayokuta yanaingizwa kwenye mafuta ya kupikia na mengine yanaekewa mkaa kwa juu bila kuingizwa kwenye mafuta hujayaelewa?Maandazi ya mafuta ni yakoje hayo?
Heshima yenu wadau.
Nimekaa muda huu nikakumbuka kifungua kinywa changu. Nimekula vitumbua 10 na supu ya utumbo.
Kitumbua kimoja shilingi 100 hivyo nimetumia 1000 kwa ajili ya vitumbua. Supu ni 500.
Jumla asubuhi nimetumia 1500.
Mwenzangu unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya asubuhi?
Kweli umenikamata mi najua skonzi na mkate ndiyo unaandaliwa hivyo sikujua na maandazi yanaweza kuandaliwa hivyo hivyoDah! Sijui hata nikueleweshe kwa lugha gani uelewe maana kwetu tunaita hivo kwenu sijui mnaitaje. Lakini ninayozungumzia ni yale maandazi unayokuta yanaingizwa kwenye mafuta ya kupikia na mengine yanaekewa mkaa kwa juu bila kuingizwa kwenye mafuta hujayaelewa?
Maandazi 4 na kikombe kimoja cha chai ya rangiunakula nn?
safi sana, hongera,Maandazi 4 na kikombe kimoja cha chai ya rangi
NB: Andazi moja linauza Tshs.100/=
Mwanza bei za vyakula haziko juu kabisa!!!!safi sana, hongera,
ss kwann watu wanalia lia vyuma vimekaza!!!!?
ha hahahaNimekula ugali maharage Na kisamvu, hiyo ndio breakfast yangu ya kila siku
Mbona kama unaomba kukaribishwa luch kijanja?Chapati mbili 500 + Maharage ya 500 jumla buku,nategeshea mida ya saa 4 nikipiga hii kitu kula tena saa 11 ndio mpaka kesho tena.
Mbona kawaida, unamjua ba mdogo Kazoa?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Chai mia andazi mbili za mia mia (100+200=300)
Jiti tatu tu mkuu