Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Dah! Sijui hata nikueleweshe kwa lugha gani uelewe maana kwetu tunaita hivo kwenu sijui mnaitaje. Lakini ninayozungumzia ni yale maandazi unayokuta yanaingizwa kwenye mafuta ya kupikia na mengine yanaekewa mkaa kwa juu bila kuingizwa kwenye mafuta hujayaelewa?Maandazi ya mafuta ni yakoje hayo?