Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Sasa wewe Muha ulitaka nile mikate ya Bakhresa au?
Alikwambia nani mie Muha?
Mwanaume kandamiza chakula kisawa sawa. Vitumbua hvo hata 20 sisikii vimeenda wapi.
 
Kwa style hii ya ulaji wa wanaume wacha muendelee kugongewa wake zenu, hadi akili iwake sawa

Mimi huku kanda ya ziwa asubuh nakunywa supu ya samaki, pembeni kuna nyama choma na ugali uliobaki jana usiku kiporo na maziwa ya mtindi lita 1, huku sina gharama zaidi ya buku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…