Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Kwa style hii ya ulaji wa wanaume wacha muendelee kugongewa wake zenu, hadi akili iwake sawa

Mimi huku kanda ya ziwa asubuh nakunywa supu ya samaki, pembeni kuna nyama choma na ugali uliobaki jana usiku kiporo na maziwa ya mtindi lita 1, huku sina gharama zaidi ya buku...
 
IMG_4489.JPG



Mwisho wa mwezi huwa nalishangaza tumbo langu namna hii lkn siku nyingine kama leo ni mihogo,chapati,vitumbua au mkate
 
Back
Top Bottom