Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu jarbu kuwa seriouslyTshs.500/= tosha sana.
Ndio hivyo usser; Vitumbua ni Tshs.100/= na Chai ya rangi ni Tshs.100/=Embu jarbu kuwa seriously
Kumbe hayo mabeg mnabeba mgongonNimebeba maji kunywa toka home hivyo sijatumia gharama yoyote..
Alikwambia nani mie Muha?Sasa wewe Muha ulitaka nile mikate ya Bakhresa au?
Ndio ni kweliNi kweli
Ni kubwa au ni ndogo hiyo Tshs.500/= kwa chai?Aiseee
N ndogo maana naona hata chapat mbiliNi kubwa au ni ndogo hiyo Tshs.500/= kwa chai?
Yes. Hapo sijachinja na ka kuku Na kushushia mtindiUnatumia gharama kubwa sana aisee kwa ajili ya kifungua kinywa
Leo umelenga kuanzia mchana?