Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Kiporo cha ugali mzee inabidi chumba kiwe na giza ili usiuone. Mapazia yote unafunga, ikiwezekana ule huku umejifunika shuka.
Aiseee kiporo cha ugali kimenikalia
Sana kushoto cjui kwann

Lakin cha wali nakiamkia saa kumii
 
Aiseee kiporo cha ugali kimenikalia
Sana kushoto cjui kwann

Lakin cha wali nakiamkia saa kumii
Cha ugali sasa ujichanganye mboga ya kusindikizia iwe spinach ya jana. Utamlaumu aliyegundua mahindi na spinach mwanzo mpaka mwisho.
 
Huwa najitahidi isizidi 1000. Siku moja moja sana inaweza fikia 5000
 
Chapati3 300 na chai: 900+ 200= 1100.

Hii ni pass ndefu hadi jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…