Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kazi.By kazi unamaanisha kazi kazi au kazi gemu?
Aiseee kiporo cha ugali kimenikaliaKiporo cha ugali mzee inabidi chumba kiwe na giza ili usiuone. Mapazia yote unafunga, ikiwezekana ule huku umejifunika shuka.
Hivi eeh? sikujaaliwa kupita huku, 'logic behind"?Msosi wao karanga lazima
[emoji23][emoji23] Daslam hakuna chai ya mia ni mia 2 3 na ya maziwa mia5 au buku kabisaHiyo chai ya 200 kama siyo ya maziwa hama, hiyo kikombe ni shilingi 100
Sinunui kila siku ila nikigawanya hesabu naona kwa siku ndio hiyoSa kila siku unanunua sukari au majani ya chai?
Kikombe cha kahawa mkuu.Kwa msosi upi hapo?
Roughly natumia buku 3500 had 4000 per day.Umewakilisha ratiba za wanafunzi wengi sana mkuu
[emoji23] [emoji23] unavyolitamka kama baya baya hiviiHahahahaaa...kwakweli Shem
Bora uliejisemea wala polo la ugali
Wewe upoo?Mia tano tu chai mia 2 hapat moja mia 3 basi