Unatumia vigezo gani kumtambua Mwenza wa maisha?

Unatumia vigezo gani kumtambua Mwenza wa maisha?

Msioe jamani soko la ndoa halipo stable tulio oa hatuna hamu na ndoa.
Mpaka sasa nimejimisi nilivyokuwa single.
Wanawake wamekuwa wajuaji,wabishi na pia wanataka league na mume
Vumilia tu Mkuu
 
Unataka uoe? Utakonda kweli,kitako kitakuwa kaukau likichwa likubwa....unaenda kupoteza furaha yako.Very sad😭😭
Natania,oa tu mkuu,tuliza kichwa utapata mtu sahihi...ila kama kigezo ni pesa,hupati asiyependa hela labda apretend
unang'ata huku unapuliza sio,,wacha aoe bwan kijana wawatu
 
Poleni sana vijana me mbona easy sana kuishi na wanawake mnafeli wapi
 
Wakuu tunaomba mtupe tips za kujua kua huyu ndo mwenza wako wa maisha yaan mke bora au mume bora. Vijana tumechoka ubachela sema tunaogopa sana ndoa emu tupeni mafunzo kidgo tusije kupigwa za kichwa kweny ndoa.
Mkuu suala la kuishi na Mwenza huwa linakuja na mambo mengi sana. Sababu zinazonifanya nimchague mwanamke fulani ili niishi naye haziwezi kulingana na unazozitaka au kuzipenda wewe. Cha msingi kama unaona ni wakati sahihi wa kuishi na mwenza basi chukua hatua za kufanya hilo jambo. watu kutegemea kupata maoni ya watu ili ndio uanze kutafuta mwenza hapo utapotea tu maana kila mtu ana vigezo na sifa anazozipendelea.
 
Back
Top Bottom