Unatumia vigezo gani kumtambua Mwenza wa maisha?

Unatumia vigezo gani kumtambua Mwenza wa maisha?

Kama umeamua kuingia ndoani jiandae kua mwanadiplomasia, vinginevyo hutoboi.
 
Hili uwe salama ni lazima uanze na Mungu hayo mahusiano na ukianza na Mungu utajua tu Kama huyo mtu ni sahihi

Sasa nyie mnakulana kila siku unafikiri utaona nini… shetani atatumia huo mwanya kukuonesha mke
 
Mdogo angu hakuna mwanamke asiyependa pesa narudia tena pesa pesa ooh.Tafuta pesa tafuta kazi then uoe.
 
Wakuu tunaomba mtupe tips za kujua kua huyu ndo mwenza wako wa maisha yaan mke bora au mume bora. Vijana tumechoka ubachela sema tunaogopa sana ndoa emu tupeni mafunzo kidgo tusije kupigwa za kichwa kwenye ndoa.
Unaogopa ndoa huku una-TOMBA/TOMBWA?,.......
 
Hili uwe salama ni lazima uanze na Mungu hayo mahusiano na ukianza na Mungu utajua tu Kama huyo mtu ni sahihi

Sasa nyie mnakulana kila siku unafikiri utaona nini… shetani atatumia huo mwanya kukuonesha mke
Amina kubwa sana
 
Unataka uoe? Utakonda kweli,kitako kitakuwa kaukau likichwa likubwa....unaenda kupoteza furaha yako.Very sad😭😭
Natania,oa tu mkuu,tuliza kichwa utapata mtu sahihi...ila kama kigezo ni pesa,hupati asiyependa hela labda apretend
Huyu ndiye mwanamke ninayemtafuta anayependa pesa na kuzitafuta
 
Kama anaweza kuiamsha ikiwa imelala
 
Back
Top Bottom