Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Hapo umenikosa huyu Manka hapa tu nalipia mbususu machwio na macheoUchagani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umenikosa huyu Manka hapa tu nalipia mbususu machwio na macheoUchagani mkuu
Unataka uoe? Utakonda kweli,kitako kitakuwa kaukau likichwa likubwa....unaenda kupoteza furaha yako.Very sad😭😭
Natania,oa tu mkuu,tuliza kichwa utapata mtu sahihi...ila kama kigezo ni pesa,hupati asiyependa hela labda apretend
ningekua sijapata mutu basi ningekutongoza mutu wewe🥲🥲,,,ulipotea weee nilienda toileti narui haupoAsante Ms R kwa kunikumbuka kpnz
Mwenza wa maisha yako kwa mtazamo wangu ni yule ambaye kwanza anaikubali hali yako,anajua maisha yako na changamoto zako na akawa tayar mpambane pamoja mfikie kule mnapotaka kwenda,,lkn ukiona mwenza wako anataka uwe kama fulani au uishi kama watu wengine wakati uwezo huo huna tambua hapa huna mtu
Mwenza wa maisha yako atafanya changamoto zako kuwa za kwake,atakuwa pamoja na wewe kuhakikisha mnavuta salama pamoja na siku zote atakuwa bega lako la kuegemea
Mtasikilizana na kuelewana,hapa ni pamoja na kuwa tayar kuacha tabia zote ambazo mwenza wako bazipendi,unajua mapenzi ni kujitoa yaan upo tayar kupoteza kitu au mambo fulani fulani ili mradi uhakikishe haumpotezi mtu unayempenda,tena kwa wanawake wakimpenda mtu watamsikiliza mwanaume na kufanya yale ambayo yatawafanya wawe karibu na wanaume wao
Mwenza wa maisha yako atakushauri mambo ya maendeleo,kwakuwa anajua huyu ndio ambaye natarajia kujenga naye maisha,kama ni mtu wa matumizi mabaya ya fedha basi atajitahidi utumie fedha zako kwa uangalifu na umakini
Bila kusahau kukuhurumia na kukujali,mapenzi naweza sema kwa asilimia kubwa ni kuhurumiana na kujaliana sana,mwenza wa maisha yako atakujali siku zote,atakuwa kwa ajili yako kwasababu anakuwa sehemu ya maisha yako
Mwenza wa maisha atakuwa anajivunia kuwa na wewe hata kwa hali duni uliyo nayo,hata kwa kipato kidogo ulicho nacho,kwasababu anajua ridhiki hupungua na kuongezeka,ipo siku mtatoboa
Ngoja niweke kalamu chini kwa sasa.
Numbisa mtaalamu wa clip za magoli UEFA EURO 2024.Ngoja waje
Numbisa mtaalamu wa clip za magoli UEFA EURO 2024.Ngoja waje
Numbisa mtaalamu wa clip za magoli UEFA EURO 2024.Ngoja waje
Nimeipenda hii kpnzningekua sijapata mutu basi ningekutongoza mutu wewe🥲🥲,,,ulipotea weee nilienda toileti narui haupo