Unatumia vigezo gani kumtambua Mwenza wa maisha?

Naomba niishi nawewe,,huyu Mpaji Mungu kanitolea nje hadharani eti hataki mwenza saiv namimi nazeeka tu
 
Nakatiza katiza huku....suala la mwenza Kwa Sasa sio kipaumbele Kwa Sasa tuangalie uchaguzi mkuu na WA serikali za mitaaa
🀣🀣🀣
Mimi nimeomba kuwa operator wa mfumo wa uendeshaji wa mfumo wa uandikishaji Wapiga kura.
 
Ahsante kwa ushauri
 
Wakuu tunaomba mtupe tips za kujua kua huyu ndo mwenza wako wa maisha yaan mke bora au mume bora. Vijana tumechoka ubachela sema tunaogopa sana ndoa emu tupeni mafunzo kidgo tusije kupigwa za kichwa kweny ndoa.
Hayana muongozo ila tambua kuwa katika kila mashetani 100 kuna malaika mmoja, so it's your choice
 
🀣🀣🀣
Mimi nimeomba kuwa operator wa mfumo wa uendeshaji wa mfumo wa uandikishaji Wapiga kura.
ushaur wa ndoa hamtaki kutoa mnaleta mamb ya uchaguzi ni mambo mazuri ila sio pahala pake
 
Wakuu tunaomba mtupe tips za kujua kua huyu ndo mwenza wako wa maisha yaan mke bora au mume bora. Vijana tumechoka ubachela sema tunaogopa sana ndoa emu tupeni mafunzo kidgo tusije kupigwa za kichwa kweny ndoa.
Utaona mnaendana tuu, basi ujue huyo ndiye aliyekupa Mungu. Halafu upendo utakuwa si wakulazimisha kabisa, utatokea tuu automatically.
 
Kijana usioe ,mi natamani kuwa single ila ndio hivyo nimeshajikwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…