Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Hii simu haikuumizi macho ukhty?! 😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii simu haikuumizi macho ukhty?! 😳
Bonge la ngoma... nakumbuka the first-time kuielewa hii ngoma ilikuwa "2017" kwenye gold-Macbook 🤯🤩 ya rafiki yangu wa karibu sana alikuwa kaja nchini kutokea marekani anapoishi akawa ananionesha Top 100 hits za BET kwa mwaka 2017 mpya!Ringtone yangu ni 1-800-273-8255 ya Logic na Allesia Cara
hahahahaa niliweka kwa kusudi tuHii simu haikuumizi macho ukhty?! 😳
Yaan mrembo na tecno jaman sijui infinix dahhh! 😅hahahahaa niliweka kwa kusudi tu
huwez amini hii sim nililetewa zawadi je ningeikataa sababu tu tecno au infinix??? niliipokea kwa mikono miwili nando naitumiaYaan mrembo na tecno jaman sijui infinix dahhh! 😅
Ni kweli na vyema sana ulipokea maana ungeleta umjini usingekuwa na tambo bibie... sijui ingekuaje 😣😖huwez amini hii sim nililetewa zawadi je ningeikataa sababu tu tecno au infinix??? niliipokea kwa mikono miwili nando naitumia
mkuu ndio uwezo wake wa kununua hicho kitochi, na mimi nimeridhika nacho ningemwambia niletee iphone akanijibu hovyo ningesema nimetukanwa wakat nimetaka mwenyeweNi kweli na vyema sana ulipokea maana ungeleta umjini usingekuwa na tambo bibie... sijui ingekuaje 😣😖
Mrembo na kitochi kwakweli ni ukatili na unyanyasaji wa jinsia 😅👍🏾
We ni mwanamke au female robot lililopachikwa akili timamu za bibadamu fulani wa kipekee?!mkuu ndio uwezo wake wa kununua hicho kitochi, na mimi nimeridhika nacho ningemwambia niletee iphone akanijibu hovyo ningesema nimetukanwa wakat nimetaka mwenyewe
ndioMsani ni ndio Popcaan au?
Kuweka wimbo wa kuitia inategemea na aina ya simu .. kuna wale wa nanii ni ringtone ya kwenye simu