Coolant
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,190
- 2,031
Hapana, toka siku ya kwanza nimeusikia huo wimbo nilitokea kuupenda tu.Ever fell in depression? Back in 2020 hii ndo nyimbo niliisikiliza sana, once i had suicidal thoughts. Nashukuru Mungu niko poa now.
Pole sana kwa maswahibu uliyopitia mkuu.