Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

Ever fell in depression? Back in 2020 hii ndo nyimbo niliisikiliza sana, once i had suicidal thoughts. Nashukuru Mungu niko poa now.
Hapana, toka siku ya kwanza nimeusikia huo wimbo nilitokea kuupenda tu.
Pole sana kwa maswahibu uliyopitia mkuu.
 
Screenshot_20230204-211347.png
 
Me nadhani mtu uweke ring tone kuendana na simu unayotumia....
Binafsi zamani wakati natumia Tecno ilikuwa ni mwendo wa vibration tu....
Nilivyo-move kuja huku nilipo ndy nimeweka ring tone. Wimbo wa Bella Kombo-Milele
 
[emoji16][emoji16],kwanini kutokana na simu unayotumia?
 
Kwanini?mi naona kama vibration huwa inanishtua hasa ikiwa mfukoni,halafu ilishawahi kuniletea shida fulani kwenye usafiri wa Umma siku moja
Hata sina sababu za msingi mkuu nadhani ni mazoea tu.

Madhara yake ni pale utapohisi mlio wa vibration hata kwa simu ya mwenzako lazima ujishike kwa mfuko usikikizie kama ndo yako inaita.
 
Back
Top Bottom