Achana na kuweka akiba kwanza dili na mahitaji ya lazima.. Ukifosi kuweka akiba utaitesa familiaJamani wanajamii forum ninapokea mshahara laki tatu na ninamke na watoto wawili ninalipa kodi 30000 kwa mwezi kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hio hela ieneee mpaka mwisho we mwezi nifanyaje ili niwezekubakisha kiasi niweke akiba.
Msaada wenu please..
Natamani nilete posa, uko mtaa gani NifahNunua vitu kwa jumla, usinunue kidogodogo.
Hakikisha unafahamu vitu vya msingi kama mnatumia mchele, unga, sukari & mafuta kiasi gani kwa mwezi.
Kwa aina yako ya maisha kama chumba ni 30K unashindwaje kubalance 300K?
Kitu cha msingi uwe unanote kila ufanyapo matumizi/manunuzi. Hapo utafahamu unatumia kiasi gani na jinsi ya kupunguza visivyo na msingi.
Suala la kuweka akiba ni suala muhimu na zuri sana katika maisha yetu! weka asilimia 5% ya kipato chako iwe akiba yako kila mwezi. Zinazobakia...mpe mke wako 150,000/ hela ya matumizi kwa Mwezi mzima ( sifa za mwanamke ni kuhakikisha anabalance fedha hiyo kwa Mwezi mzima na itoshe) jitahidi chakula Cha familia kinunuliwe kwa ujumla, sabuni za kufua zisisahaulike, mpe nafasi mkeo atafute chochote kitu ili kuongeza Pato la familia. Inawezekana!; Baba lipa maji na umeme, lipa Kodi, hakikisha una emergency ya sh. 10,000 tu kila mwezi.Jamani wanajamii forum ninapokea mshahara laki tatu na ninamke na watoto wawili ninalipa kodi 30000 kwa mwezi kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hio hela ieneee mpaka mwisho we mwezi nifanyaje ili niwezekubakisha kiasi niweke akiba.
Msaada wenu please..
Nilidhani bado nilitaka kuanza ligi ya posa na mwamba hapo!Nimeshachukuliwa Mkuu, Asante.
Eti amewaza na akiba kabiSa🤒Achana na kuweka hakiba kwanza dili na mahitaji ya lazima.. Ukifosi kuweka hakiba utaitesa familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha darasa nimependa flow yako ya budgetingNimeshachukuliwa Mkuu, Asante.
Lengo linaweza kuwa zuri sana lakini kwa mshahara huo ni kujitesa na kuitesa familia to the maxmumEti amewaza na akiba kabiSa[emoji855]
KABISALengo linaweza kuwa zuri sana lakini kwa mshahara huo ni kujitesa na kuitesa familia to the maxmum
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! tafuta connection uhamie sehem yenye mshahara mkubwa ili uweze kufanya maendeleo maana kwa laki 3 unayopata kwa mwezi ni fedha ndogo mno na usilogwe ukakopa Benki ndio life litazidi kuwa gumu.Jamani wanajamii forum ninapokea mshahara laki tatu na ninamke na watoto wawili ninalipa kodi 30000 kwa mwezi kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hio hela ieneee mpaka mwisho we mwezi nifanyaje ili niwezekubakisha kiasi niweke akiba.
Msaada wenu please..
Dah, unaishi wapi, watu wanalipwa chini ya hapo, laki mbili na wanafamilia maisha yanaenda, nenda viwanda vya wahindi, mshahara kwa mwezi laki na nusuDah! tafuta connection uhamie sehem yenye mshahara mkubwa ili uweze kufanya maendeleo maana kwa laki 3 unayopata kwa mwezi ni fedha ndogo mno na usilogwe ukakopa Benki ndio life litazidi kuwa gumu.
kumiliki usafir hapo ni changamoto yan hata ki-Ist kwako itakuwa ishu sana.
pia tawanya pesa yako kwa kufungua miradi/mirija mingine yakukuingizia kipato angalau hata 3000-5000 per day. ili upunguze ukali wa maisha na usonge mbele kwenye maendeleo ikiwemo kununua uwanja nk.
ameolewa na jamaa mmoja wa jf rafiki ake ONTARIONatamani nilete posa, uko mtaa gani Nifah
Exactly mm pia Huwa nafanya hivo na inasaidia sana sio tu wenye kipato kidogo hata wanaopenda kuweka akiba ni rahis sana unakuwa unajua Kwa mwez matumizyako ni kias gani na kipi usavePunguza matumizi yasiyo ya lazima, nunua mahitaji muhimu tu hasa vyakula.
Nunua vitu kwa jumla, usinunue kidogodogo.
Hakikisha unafahamu vitu vya msingi kama mnatumia mchele, unga, sukari & mafuta kiasi gani kwa mwezi.
Kwa aina yako ya maisha kama chumba ni 30K unashindwaje kubalance 300K?
Kitu cha msingi uwe unanote kila ufanyapo matumizi/manunuzi. Hapo utafahamu unatumia kiasi gani na jinsi ya kupunguza visivyo na msingi.