Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna unachokijua, kaa kimya.ameolewa na jamaa mmoja wa jf rafiki ake ONTARIO
Ama kweli The bold amepata mke hapa 😂Punguza matumizi yasiyo ya lazima, nunua mahitaji muhimu tu hasa vyakula.
Nunua vitu kwa jumla, usinunue kidogodogo.
Hakikisha unafahamu vitu vya msingi kama mnatumia mchele, unga, sukari & mafuta kiasi gani kwa mwezi.
Kwa aina yako ya maisha kama chumba ni 30K unashindwaje kubalance 300K?
Kitu cha msingi uwe unanote kila ufanyapo matumizi/manunuzi. Hapo utafahamu unatumia kiasi gani na jinsi ya kupunguza visivyo na msingi.
Mwanzishie biashara mkeo...Jamani wanajamiiforums ninapokea mshahara laki tatu na nina mke na watoto wawili ninalipa kodi 30,000 kwa mwezi, kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hiyo hela ieneee mpaka mwisho we mwezi nifanyaje ili niweze kubakisha kiasi niweke akiba.
Msaada wenu please..
Laki tatu anatoboa mkuu...Hio pesa hutoboi mwezi niamini mim ....
Maneno ya kukutia moyo na budget za humu za kuandika Kwa hisia Ni tofauti na huku mtaani ,....
Jiandae kukopa elfu hamsin ambayo itakufanya umalize mwezi ...hapo chunga Sana ...
Kiufupi ili utoboe Kwa hio pesa mwezi inabidi uishi kama shetani ....
Ikiwa kazi yako haina pesa zingine za ziada ni ngumu sana kumudu maisha pamoja na familia kwa laki3 per mwezi, kulingana na matumizi ya kisasa yenye ulazima ktk familia na ghalama zake, ni ngumu kuishi kwa hiyo pesaJamani wanajamiiforums ninapokea mshahara laki tatu na nina mke na watoto wawili ninalipa kodi 30,000 kwa mwezi, kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hiyo hela ieneee mpaka mwisho we mwezi nifanyaje ili niweze kubakisha kiasi niweke akiba.
Msaada wenu please..
🤓🤓🤓🤓🤓 daaahIkiwa kazi yako haina pesa zingine za ziada ni ngumu sana kumudu maisha pamoja na familia kwa laki3 per mwezi, kulingana na matumizi ya kisasa yenye ulazima ktk familia na ghalama zake, ni ngumu kuishi kwa hiyo pesa
Jamani wanajamiiforums ninapokea mshahara laki tatu na nina mke na watoto wawili ninalipa kodi 30,000 kwa mwezi, kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hiyo hela ieneee mpaka mwisho we mwezi nifanyaje ili niweze kubakisha kiasi niweke akiba.
Msaada wenu please..
Nifah wewe uliekuwa unanichamba huku jf na mume wako ze bold, Au unadhani nimesahau?Huna unachokijua, kaa kimya.
Laki tatu Hana uwezo wa kutoboa Kwa familia ya mke na watoto wawili tuache kumpa matarajio hewa ...Laki tatu anatoboa mkuu...
Tupe mchanganuo hapa tuone
🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 khaaaaaaa yaaani nimecheka tuuu kuna watu mna michanganuo ya ajabu ajabu...Laki tatu Hana uwezo wa kutoboa Kwa familia ya mke na watoto wawili tuache kumpa matarajio hewa ...
Mke na watoto wawili wanahitaji Milo miratu Kwa siku ,....hapa tuseme amenunua ...
Kilo Kumi za Michele -25,000
Unga Kila 10 ,- 20,000
Mafuta ya Kula Lita 5- 25,000
Sukali kilo 5-16,000
Maharage kilo 5-10,000
Hapo tuseme Laki imeisha Kwa vitu vya mhimu sanaaaaa.....hivyo vyakula nimeassume vitamaliza mwezi japo Sina uhakika .....
Hapo Laki imeisha imebaki Laki mbili (200,000)
Twende matumizi mengine ..
-Kubadili mboga mboga ,dagaa ,nyama kidogo ,mchicha ,sio Kila siku mtakula mahalage ...---20,000
-gesi au mkaa --25,000
-chumvi ,majani ya chai --4000
-sabuni ,kipande na Unga &steel wire kusugulia sufuria -5000
Maji ya kununua Kwa mwezi /bill -5000
Umeme kulipa Kwa mwezi -5000
Nauli ya kwenda kazin na Kurudi baba pekee yake -30,000
Nauli za mke na watoto kutoka sehemu kwenda sehemu Kwa emergency, mkee hawezi kaa nyumbani kama jiwe ,kwenda sokon n.k-20,0000
Hapo umetumia Laki na uchafu (130,000) ...
Baada ya yote hayo imebaki 70k..
Hujanunua vocha ya kuwasiliana na mkeo tuseme Kwa mwezi utatumua -5000
Mtoto amepata kikohozi ,au kichwa kinauma ,umenunua hata Panado .n.k -5000
Kanisani hujatoa sadaka wewe na mke ,Kwa mwezi wote wawili tuseme -10,000
Hela ya takataka ,ulinzi shirikishi mtaani maana mjumbe atakuja kudai [emoji23]-5000
Mwanaume hauwezi kaa nyumbani tu utaangalia hata mpira ,bia moja ,-20,000
Hapo hujanunua nguo ,mkeo hajaenda saloon ,wewe hujaenda saloon kunyoa ndevu ,watoto hawajaenda hata kutembea kokote hata beach ,watoto hujawanunulia hata biscuit,ndugu hujawapa hata 100, mama mzazi hajakuomba hata 5000,,,, hujapata emergency ya kuumwa hata hospital,,hujahonga Kwa michepuko ,hujapoteza pesa (maana kuna hela zinapotea tu automatic bila kujua sababu [emoji23]...
Laki tatu hutoboi aiseee....
Na hapo ili utoboe mwezi lazima uishi kama shetani kwa matumizi ya hapo juu.....
We huyo ni shemeji yetu!The Bold!Natamani nilete posa, uko mtaa gani Nifah
Sasa wewe nakusahauje? Si ulikuwa hadi shemeji yangu zamani au umesahau?Nifah wewe uliekuwa unanichamba huku jf na mume wako ze bold, Au unadhani nimesahau?
Laki tatu Hana uwezo wa kutoboa Kwa familia ya mke na watoto wawili tuache kumpa matarajio hewa ...
Mke na watoto wawili wanahitaji Milo miratu Kwa siku ,....hapa tuseme amenunua ...
Kilo Kumi za Michele -25,000
Unga Kila 10 ,- 20,000
Mafuta ya Kula Lita 5- 25,000
Sukali kilo 5-16,000
Maharage kilo 5-10,000
Hapo tuseme Laki imeisha Kwa vitu vya mhimu sanaaaaa.....hivyo vyakula nimeassume vitamaliza mwezi japo Sina uhakika .....
Hapo Laki imeisha imebaki Laki mbili (200,000)
Twende matumizi mengine ..
-Kubadili mboga mboga ,dagaa ,nyama kidogo ,mchicha ,sio Kila siku mtakula mahalage ...---20,000
-gesi au mkaa --25,000
-chumvi ,majani ya chai --4000
-sabuni ,kipande na Unga &steel wire kusugulia sufuria -5000
Maji ya kununua Kwa mwezi /bill -5000
Umeme kulipa Kwa mwezi -5000
Nauli ya kwenda kazin na Kurudi baba pekee yake -30,000
Nauli za mke na watoto kutoka sehemu kwenda sehemu Kwa emergency, mkee hawezi kaa nyumbani kama jiwe ,kwenda sokon n.k-20,0000
Hapo umetumia Laki na uchafu (130,000) ...
Baada ya yote hayo imebaki 70k..
Hujanunua vocha ya kuwasiliana na mkeo tuseme Kwa mwezi utatumua -5000
Mtoto amepata kikohozi ,au kichwa kinauma ,umenunua hata Panado .n.k -5000
Kanisani hujatoa sadaka wewe na mke ,Kwa mwezi wote wawili tuseme -10,000
Hela ya takataka ,ulinzi shirikishi mtaani maana mjumbe atakuja kudai [emoji23]-5000
Mwanaume hauwezi kaa nyumbani tu utaangalia hata mpira ,bia moja ,-20,000
Hapo hujanunua nguo ,mkeo hajaenda saloon ,wewe hujaenda saloon kunyoa ndevu ,watoto hawajaenda hata kutembea kokote hata beach ,watoto hujawanunulia hata biscuit,ndugu hujawapa hata 100, mama mzazi hajakuomba hata 5000,,,, hujapata emergency ya kuumwa hata hospital,,hujahonga Kwa michepuko ,hujapoteza pesa (maana kuna hela zinapotea tu automatic bila kujua sababu [emoji23]...
Laki tatu hutoboi aiseee....
Na hapo ili utoboe mwezi lazima uishi kama shetani kwa matumizi ya hapo juu.....
dah kwamwezi laki tatú na umeoa kabisa🤔
mh