Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Unaishi mkoa Gani ? Huo mshahara naona unasababisha niache kazi soon, mana kula tu hautoshi Zanzibar,Jamani wanajamiiforums ninapokea mshahara laki tatu na nina mke na watoto wawili ninalipa kodi 30,000 kwa mwezi, kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hiyo hela ieneee mpaka mwisho we mwezi nifanyaje ili niweze kubakisha kiasi niweke akiba.
Msaada wenu please..