stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako
Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako
Na pia kuna chumba unaweza kutuambia tukakudesizainia kinakuwa hakionekan pande zote weka mali zako usiklili kila kitu unaweka sehem inyo onekana
au unaweka underground