stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Niwaite mnitengenezee pa kuweka mali zangu. Kuna majambazi hamjitambui.Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako
Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako
Na pia kuna chumba unaweza kutuambia tukakudesizainia kinakuwa hakionekan pande zote weka mali zako usiklili kila kitu unaweka sehem inyo onekana
au unaweka underground
Wewe ni yupi hapo mkuu?
Angalia juu pale mzungu mkaka yuke na mzungu mdadaWeka hiyo ya tiles nione naweza vipi kuwa naficha ulanzi wangu
Sasa mbona hiyo tiles itakuwa imekaa kiasi cha mtu kuistukia akikanyanga vizuri itakuwa inachezaAngalia juu pale mzungu mkaka yuke na mzungu mdada