Unatunza mali zako wapi ndani ya nyumba yako? Njoo tukufundishe sehem salama

Bro nikiona ID yako nakumbuka 300 ya mwanao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Changamsha genge iyo mwanangu nimpeleke kidumu na mfagio nimelogwa au
 
Kichwa hiki kinawazaga vitu vya muhimu ila unaweza kuvichukulia poa
 
Mali zangu natembea nazo kwenye suruali... Hebu tuoneshe mfano wa hicho chumba kisichoonekana pande zote
 
Mke wangu Mmachame napaswa kumjulisha nilikoficha hizo Docs zangu muhimu?...
 
Kuna ushauri umeutoa hapo nilishapractize, huo wa underground sijui chini ya tiles haufai kabisa.

Ardhi inazalisha joto na mvuke wa ajabu sana!

Ungelishauri ukuta, chumba cha siri kama ulivyoeleza ama kudizine makabati na makochi.
 
Mambo ya watu Kigoma hayo, ukiwapangisha chuma lazima ukute wamechimba kuweka hela zao.
 
Mambo ya watu Kigoma hayo, ukiwapangisha chuma lazima ukute wamechimba kuweka hela zao.
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…