Hivi nyie watu vip?mmeishamtosa Dr Slaa mara hii?sijui Dr Slaa anajisikiaje anapoona wanaChadema wanavyokoa Lowassa ndiye awe mgombea urais wao.Maana yake muda wote mlikuwa mnaona Dr Slaa hatoshi?
Yaan ukitoa hapana za CCM utaona kuwa za Chadema hapo zimejaa NDIYO, ndio najiuliza kumbe mlikuwa mnajua Dr Slaa hafai kuwa Rais mpaka mnaanza kukomaa sasa na Lowasa?kaazi kwelikweli
Yaan ukitoa hapana za CCM utaona kuwa za Chadema hapo zimejaa NDIYO, ndio najiuliza kumbe mlikuwa mnajua Dr Slaa hafai kuwa Rais mpaka mnaanza kukomaa sasa na Lowasa?kaazi kwelikweli
Itakuwa furaha mbiguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Lowasa kazi moja anayokuja kufanya ni kuitoa ccm kwanza then anatuachia tuendelee na safari yetu. Mimi nitaunga mkono yeyote mwenye uwezo wa kuing'oa ccm tu awe fisadi au asiwe fisadi potelea mbali.
Ndiyo 100%, vyovyote iwavyo EL hata akibaki ccm wamekwisha mwona kuwa hana jipya zaidi wanaomba asifanye maamuzi magumu ya kuhamia Chadema ili baadae wamshughulikie. So kwenda kwake Chadema ni kama msumali wa moto kwa ccm, wanahofu ya kushindwa. Wanaogopa kusoma namba!