Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Vyama na watu na majina tu.

Adui mkuu wa maendeleo na ustawi wa waTz ni MFUMO mbovu unaolelewa na KATIBA mbovu, na vyote hivi vinakibeba chama tawala (kwa sasa ni CCM).

Jambo lolote linalosaidia kuing'oa CCM na mfumo mbovu uliopo niliunga mkono.

Ndioooo...
 
Mafisadi wanaponunua viongozi wakuu wa chama lazima na mfumo wako utaharibika pia,
 
Vyama na watu na majina tu.

Adui mkuu wa maendeleo na ustawi wa waTz ni MFUMO mbovu unaolelewa na KATIBA mbovu, na vyote hivi vinakibeba chama tawala (kwa sasa ni CCM).

Jambo lolote linalosaidia kuing'oa CCM na mfumo mbovu uliopo niliunga mkono.

Ndioooo...

Unajua huo mfumo kauleta nani(muasisi)? Na umeanza lini kutumika?
 
Ndio ng'oa ccm wakae pembeni watajifunza kuwatumikia watu, kuwasikiliza kauli ya nyerere Chama kikikaa madarakani mda mlefu ulewa lewa na kuacha kuwasikiliza wananchi wanajifanyia mambo wanayotaka wao
 
Naunga mkono na miguu pia. Kula zangu zote ntatembeza kwa UKAWA. Lazimamagamba mnye safari hii
 
Back
Top Bottom