vote now!
Done already, my avatar speaks itself mkuu............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vote now!
Inakuwa vipi poll iishe september wakati ambapo mgombea atakuwa tayari amejulikana. kwa nini isingefanyika hata kwa wiki moja au mbili tu ili ibakie kuwa relevant na maoni yawe sio kwa kutegemea yaliyokwisha kufanyika.Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.
Uzuri hawawezi badili muelekeo zaidi ya labda kupunguza gap tu kwenye hizo kura.Salary Slip votes nyingi za hapana zinatoka kwa magamba, so update uzi kuwahabarisha members kuhusu hili!