Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
NdioooJe,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.
umwana wa mai
Vyama na watu na majina tu.
Adui mkuu wa maendeleo na ustawi wa waTz ni MFUMO mbovu unaolelewa na KATIBA mbovu, na vyote hivi vinakibeba chama tawala (kwa sasa ni CCM).
Jambo lolote linalosaidia kuing'oa CCM na mfumo mbovu uliopo niliunga mkono.
Ndioooo...