Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.
Ndiyoooooooo watz wanamkubali kwa asilimia 80 saut ya watu saut ya mungu. asiyekosa kwa kutoa au kupokea rushwa hta km n ndogo na awe was kwanza kumtupia jiwe. nobody is perfect 100%, I need to see changes kwa kukiwek chama kingine, just for 5 years.
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.
Hapanaaaaaaaaaaa
Hafai na skendo ya ufidadi wakimuweka tu Lowasa Magufuli anakua Raisi saa tatu asubuhi. Ukawa wasijaribu hilo suala watajutraaaaa.