Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Utajuaje kama waliompinga au kuunga mkono ni wanachadema na sio wazee wa Lumumba. Mi Ninaunga mkono EL kugombea urais
 
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu Ndio/Hapana/Sijui

Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.

Ndiooi
 
Inashangaza sana....waliosema Lowassa ni fisadi na wakatangaza kuwa ushahidi upo.....leo ushahidi umeyeyuka na amekuwa malaika..na mweupe kama theruji....
 
Ndiyoooooooo watz wanamkubali kwa asilimia 80 saut ya watu saut ya mungu. asiyekosa kwa kutoa au kupokea rushwa hta km n ndogo na awe was kwanza kumtupia jiwe. nobody is perfect 100%, I need to see changes kwa kukiwek chama kingine, just for 5 years.

Inashangaza kwa kweli...duh hadi wewe.....??
 
Kuhamia ni haki yake LAKINI watamsafishaje? CDM kama pipoooz sauti ,makamanda tuliowategemea LEO Wanatugeuza na kusema HAKUNA ASIYE NA DHAMBI hivyo Mbowe anatuambia nayeye ni Mchafu ila hajajulikana au hajapata nafasi kutuibia. Binafsi najiuliza hivi;
1. Je Lowassa atasafishika kwa sabuni gani? Juu ya uwezo wa kuwa tayari kujiuzuru au kufa iliasiseme kweli ktk bunge tukufu kwa kile kijulikanacho kama Richard Monduli aka RICHMOND asie mzalendo ailye tayari kutetea Haki na sheria
2. Siku chache ametumia mabillion ya pesa akiwa ccm kwa kile kiliitwa kusaka wadhamini ili hali kampeni zaccm za mizengwe na kuvunja kanuni za uchaguzi zile pesa tutazirudishaje?
 
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu Ndio/Hapana/Sijui

Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.

Tunamtaka Dr Slaa hatutaki Mwizi avae nguo za makamanda huyu ni mwizi aliyewakimbia wezi wenzake TUMKAMATE NA KUVISHA TAIRI ACHOMWE MAHAKAMANI
 
Hafai na skendo ya ufidadi wakimuweka tu Lowasa Magufuli anakua Raisi saa tatu asubuhi. Ukawa wasijaribu hilo suala watajutraaaaa.

Kaa kama matahira muone moto wake....! Kapige mbizi na magufuri kamanga mwende na geita...!
 
CHADEMA mbowe ovyooooooo ni watu wa hela tu asi mangi wakiingia IKULU watapika heeeela
The in the list of shame LEO NI MFALME Chadema
Lissu mzalendo tunayekutegemea uko wapi? Tusaide hiki ndicho kikosi tulichotegemea zimwi ccm kutoa
Yuko wapi Dr Slaa, Mchungaji, Msigwa mnaosimamia Ukweli ?
Kile kikosi cha Lowa sasa mtakipeleka wapi? Wezi wasion na chama ila kutafuta popote palipo masilahi hununua kadi kwa bei yoyote ili mradi watapiga hela za wakulima.
 
Back
Top Bottom