Unavaa size gani ya kiatu?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
45 lakini cha ajabu...nikivaa kinanibana,kwahyo kila nikinunua kiatu,naenda kwa fund akitanue /boost maaana vidole vya mbele vinene na vipana....hii inapelkea kuvaa open shoes mwaka hadi church...hata nje ya bongo.Navaa open shoes mwaka wa 5 sasa
 
Mimi navaa 45 au 9.

Nakumbuka wakati nipo form three ama form four nilikuwa navaa viatu vya faza na vikinikaa karibia kunibana.
 
Aisee mimi pia nina mguu mkubwa na mwili mdogo,navaa 44 kama sio 45.

Nilikua najifanya natafuta kiatu kidogo ili nisionekane navaa zinga la kiatu,weee asikuambie mtu maumivu ya kuvaa kiatu kinachokubana.

Sahivi nimekubaliana na hali bora nivae kiatu kikubwa tu ila niwe na raha na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…