Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!! Kuumbe.
Basi mie viatu vingi naonaga mwisho ni namba 41 tena 41 yenyewe inakuwaga na viatu vichache.
Ukweli mtupu!!Mkuu acha kabisa, sisi wenye miguu kama bata tuna shida sana, yaani unapotafuta kiatu hutafuti unachokipenda bali unatafuta kinachokutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mabinti visu hasa na wanavaa hizo namba bobUnakuta Manzi inavaa kiatu namba 45 alaf inajiita Pisi kali,,Wewe sio Pisi Bali ni Afande Sele,
Mimi navaa 45 au 9.Naam
Aisee katika changamoto nazipitia katika haya maisha ni linapokuja swala la kiatu Cha kuvaa .
Nina miguu mikubwa sana mguu wa kushoto navaa namba 45 na wa kulia navaa namba 45 na nusu
Viatu vya mguu wangu gharama sana
Dukani ukitaka vile vya ngozi sio chini ya 100k
Na vya mtumba vya ngozi sio chini ya 35k
Vitu vya mtaani vile wanavyopanga vya buku kumi kumi havinifai maana stail yangu kutembea nashusha kishindo Cha haja ardhini .Nimejaribu sana kuacha hio tabia kutembea kiminyato[emoji3]nimeshindwa
Wakati mwingine naweza pata viatu hivyo vya saizi yangu still vinakuwa vinanibana bado[emoji45]
Hii ni kutokana na mguu wangu mmoja una dole kubwa sana na pana[emoji1787]
Daah Ni changamoto kweli
Wewe je unavaa sauzi gani ya kitu.?
Ni changamoto zipi unapitia?
Karibuni watanashati na wanalimbwende[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
nlijua tuSize 36
Kwanini?nlijua tu