mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
ushaona la firauniHahaha sio kweli walikuwa wa kawaida tu kama sisi tulivyo Mzee! Unaweza kuangalia mabaki ya miili yao Online
ushaona la firauni
kwanza binadamu wa kale(meanzo) walikuwa ni nguvu zikiambatana na miili mikubwa
rejea mnara wa babeli inaaminika kuna jiwe kubwa walilipandisha juu sasa jiulize kulikuwa hakuna winch walipandishaje
pili rejea abari za Daudi na Goliath
Mmmh seee ina maana tofali moja ilikuwa ni sawa na fuso tena Double diff?Yah! Ndo maswali ambayo watu sasa wanajiuliza walikuwa wanabebaje! maana hakukuwa hata na Winch!
Wa2 wa zamani walikuwa ni ma-giant sana,unaweza kuta m2 mmoja ni sawa na muunganiko wa watu mia moja wa hivi sasa,kwa kuwa kuna baadhi ya maandko yanadai kuwa hata Ibrahim (Baba yetu katka imani walikuwa na urefu wa futi 12) na Ibrahim nadhani alizaliwa baadae sana Wamisri wakiwa tayar wameshajenga hizo Pyramids (but I am not sure with this phenomenon)Tani saba tofali moja walikuwa wanabebaje sasa.
Wakifufuliwa hiv leo na kuyaona majengo ya Udsm,wanaweza kucheka mpaka kufa!Duh wajamaa noma tani zote izo Bila kua Na crane
Kumbe hawa secret society wanatumia slogan hii!...we build pyramid period we the masters...... Wajenzi huru
Sijajua mkuu lakini hii kauli niliisikia kwenye nyimbo ya Rick ross na Jigga, unaitwa FreemasonryKumbe hawa secret society wanatumia slogan hii!
Itakuwa labda kipindi hicho wale watu wakubwa walikuwepo[emoji28][emoji28]maana kwa mtu kama mimi siwezi kubebaYah! Ndo maswali ambayo watu sasa wanajiuliza walikuwa wanabebaje! maana hakukuwa hata na Winch!
Nitajaribu kuufuatilia huu wimbo,lkn pia yasemekana Freemason walishakuwepo tangu zamani,walikuwa wakijishughulisha na masuala ya ujenzi!Sijajua mkuu lakini hii kauli niliisikia kwenye nyimbo ya Rick ross na Jigga, unaitwa Freemasonry
Sijajua mkuu lakini hii kauli niliisikia kwenye nyimbo ya Rick ross na Jigga, unaitwa Freemasonry
Sijajua mkuu lakini hii kauli niliisikia kwenye nyimbo ya Rick ross na Jigga, unaitwa Freemasonry
Yah jamaa wapo toka kitambo sanaaNitajaribu kuufuatilia huu wimbo,lkn pia yasemekana Freemason walishakuwepo tangu zamani,walikuwa wakijishughulisha na masuala ya ujenzi!
hata bina adamu tuna matoleo mkuu[emoji23]..Wa2 wa zamani walikuwa ni ma-giant sana,unaweza kuta m2 mmoja ni sawa na muunganiko wa watu mia moja wa hivi sasa,kwa kuwa kuna baadhi ya maandko yanadai kuwa hata Ibrahim (Baba yetu katka imani walikuwa na urefu wa futi 12) na Ibrahim nadhani alizaliwa baadae sana Wamisri wakiwa tayar wameshajenga hizo Pyramids (but I am not sure with this phenomenon)
Pia,yaaminika mwanadamu alianza kuwa mfupi na kuwa na akili (ufaham na utashi) kidogo baada ya kutenda dhambi so,sishangai!
Safi sana Mkuu!hata bina adamu tuna matoleo mkuu[emoji23]..
maana zamani jitu lina miaka 50 labda ndo linajifunza kutembea[emoji23] jitu la miraba.....
kadri miaka inavyozidi ndivyo tunazidi kuwa wadogo zaidi
Hamna majitu wa zamani! Hapo tumeshapata mifano ya kutosha ya mifupa iliyohifadhiwa tangu miaka mielfu.Wa2 wa zamani walikuwa ni ma-giant sana,unaweza kuta m2 mmoja ni sawa na muunganiko wa watu mia moja wa hivi sasa,kwa kuwa kuna baadhi ya maandko yanadai kuwa hata Ibrahim (Baba yetu katka imani walikuwa na urefu wa futi 12) na Ibrahim nadhani alizaliwa baadae sana Wamisri wakiwa tayar wameshajenga hizo Pyramids (but I am not sure with this phenomenon)
Pia,yaaminika mwanadamu alianza kuwa mfupi na kuwa na akili (ufaham na utashi) kidogo baada ya kutenda dhambi so,sishangai!
Boya mwingine huyopyramid zilijengwa na waisrael walipokuwa utumwan misri kwahyo hapo pongezi ziende kwa wayahudi
Aisee ni elimu hiiHamna majitu wa zamani! Hapo tumeshapata mifano ya kutosha ya mifupa iliyohifadhiwa tangu miaka mielfu.
Naomba usisambaze habari bila msingi. Hasa kutoka Misri kuna maiti nyingi zilizohifadhiwa (maana halihewa ni kavu kuna maiti nyingi zilizokauku tu badala ya kuoza jinsi ilivyo kawaida). Hizi mumia (mummies) za wafalme hakuna siri jinsi alivyosema hapa mwingine; maana walifunika maiti kwa chumvi na kutoa utumbo hadi imekauka vema.
Kuhusu urefu wa Wamisri wa Kale kuna utafiti wa juzi wa mchambuzi aliyepata PhD juu ya mada hii.
Karibu kusoma mwenyewe: http://scholarcommons.usf.edu/cgi/viewcontent.cgi?article=4500&context=etd
Egyptian Body Size: A Regional and Worldwide Comparison (2011)
Alichungulia mabaki ya wati zaidi ya 1000 walioishi kati ya mwaka 5500 kabla ya Kristo hadi karne za kwanza baada ya Kristo. Picha inaonyesha urefu wa Wamisri (buluu wanume - nyekundu wanawake) na Wanubia (Sudan kaskazini). Wanaume Wamisari kwa wastani walikuwa na sentimita kati ya 160 na 170 kwa jumla. Nyakati za vita na njaa ilileta watu wafupi zaidi (maana urefu hutegemea chakula hasa protini na vitamini kwa watoto).
Hakuna dalili ya majitu (giants) hata kidogo. Wamisri wa leo ni warefu kuliko zamani maana chakula kimekuwa bora.
View attachment 677495