Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Niliona documentary moja jinsi walivyojenga Pyramidy na kuvumbua maandishi..Tani saba tofali moja walikuwa wanabebaje sasa.
Ipo hivi..
Zamani kulikua na wanyama flani jamii ya tembo wakuuubwa sanaa ndio wqlitumika kwenye ujenzi wa hayo majengo, pia walitumia njia ya magogo. Walipanga magogo njiani kisha wanaweka tofali juu ya magogo then wanalisukuma lina tereza kwa urahisi...
For more infos about tech &science.
Tizama Da Vinci Learning chanel kipindi cha Quirk Science