Unavyoambiwa Kuwa Wamisri wa Kale walikuwa soo unatakiwa uwe unaelewa

Unavyoambiwa Kuwa Wamisri wa Kale walikuwa soo unatakiwa uwe unaelewa

Waafrika hatujithamini, tunadanganywa na waarab/wazungu kuwa ni waarab ndiyo waliojenga haya kumbe ni sisi wenyewe ndiyo wajenzi. Time has come jamani tujithamini na tupinge huu ujinga wa kudharauliwa. Waafrika tuna mchango mkubwa sana hapa duniani kihistoria.
 
Tumejenga wenyewe waafrika weusi ila waarab na wazungu wanasema wamejenga waarab when this is NOT true at all.
 
Ni uongo kuwa wazungu hawawezi jenga pyramids kwa sasa. Sababu kuna majengo makubwa sana yamejengwa zaid ya pyramids.ila ni kuwa wakijenga pyramids hazitakuwa na maana kwa sasa.sababu ya misri yana upekee wake kutokana na teknolojia ya miaka ile. Kama wnajenga barabara chini ya bahari watashindwa jenga pyramids?sema haitakuwa na maana yoyote sababu teknolojia ya na kale ni tofauti


wajapan walitaka kwenda kuijenga kwao na walijaribu kujenga,ila waliishia kumwaga tu bajeti yao kubwa na pyramid isijengwe
 
Wa2 wa zamani walikuwa ni ma-giant sana,unaweza kuta m2 mmoja ni sawa na muunganiko wa watu mia moja wa hivi sasa,kwa kuwa kuna baadhi ya maandko yanadai kuwa hata Ibrahim (Baba yetu katka imani walikuwa na urefu wa futi 12) na Ibrahim nadhani alizaliwa baadae sana Wamisri wakiwa tayar wameshajenga hizo Pyramids (but I am not sure with this phenomenon)
Pia,yaaminika mwanadamu alianza kuwa mfupi na kuwa na akili (ufaham na utashi) kidogo baada ya kutenda dhambi so,sishangai!
Yani Ibrahim alikuja baada ya hayo makitu hahahaha we dini gani?
 
* Moja ya Maajabu Makubwa waliyoyafanya ni kujenga Great Pyramid hiyo kitu ina sifa sifuatazo.

A. Ilijengwa kama Kaburi la Pharao ya kipindi hicho aliyeitwa 'KHUFU' Pia inajulikana kama ni 'Pyramid ya Khufu'

B. Hiyo ndiyo kubwa kuliko Pyramid zote Misri.

C. Lina Urefu wa Futi 481! (Note; Makaburi yetu ya sasa huwa na Futi sita)

D. Ndilo lilikuwa jengo refu zaidi miaka 4000 iliyopita kurudi nyuma!

E. Hili Dubwana lina Uzito wa Ton zaidi ya Milioni 14.5 (Note Haya Magari makubwa ya sasa uzito wake hata Ton mia hayafikishi!
F. Eneo la Mraba ni Futi 756! yaani Hekari 13! (Ukubwa huu unaweza kutosha karibu viwanja 10 vya mpira!
G. Pembe zake zote za Mraba ziko sawa (It means ilipigwa Hesabu)

H. Upande mmoja kati ya kuta nne zipandazo Juu una ukubwa wa Hekari 5.5!

I. Ujenzi ulianza mwaka 2540 Kabla Yesu Hajaja.

J. Ujenzi ulichukua Miaka 23 kukamilika!

K. Ujenzi ulitumia Tofari Milioni 2.3

L. Wastani wa Uzito wa kila Tofari Moja ni Ton 7!

M. Wafanyakazi walijenga kwa siku 7 katika wiki mpaka lilipokamilika baada ya miaka 23!

Kaburi hili Lipo kwenye Moja ya Maajabu Saba Ya Dunia!..
Kwakifupi, swala la uhandisi ndo ulianzia kipindi hiko.
 
pyramid zilijengwa na waisrael walipokuwa utumwan misri kwahyo hapo pongezi ziende kwa wayahudi
upuuzi uliovuka mipaka
kwa nini yerusalem hakuna hata piramid lenye urefu wa rula!!!!
unamjua imhotep wewe?alijenga pyramid la kwanza(step pyramid at sakkara) miaka 2000 kabla myahudi wa kwanza hajazaliwa (abraham)
kuweni na utamaduni wa kusoma historia kabla ya kuamini blah bla za vijiweni
 
hata bina adamu tuna matoleo mkuu[emoji23]..
maana zamani jitu lina miaka 50 labda ndo linajifunza kutembea[emoji23] jitu la miraba.....

kadri miaka inavyozidi ndivyo tunazidi kuwa wadogo zaidi
Maneno yako yanakwenda sambamba na mtume kwa imani yangu, alisema kadri miaka inavyokwenda ndy tunachuja
 
Ni uongo kuwa wazungu hawawezi jenga pyramids kwa sasa. Sababu kuna majengo makubwa sana yamejengwa zaid ya pyramids.ila ni kuwa wakijenga pyramids hazitakuwa na maana kwa sasa.sababu ya misri yana upekee wake kutokana na teknolojia ya miaka ile. Kama wnajenga barabara chini ya bahari watashindwa jenga pyramids?sema haitakuwa na maana yoyote sababu teknolojia ya na kale ni tofauti


You may need to update your History Knowledge Sir GuDume:
- There's NOTHING ON EARTH THAT SURPASSES ANY PYRAMID YOU CAN SEE.
- Those Pyramids you see are today's technology blue print. They are not Tumbs at all.
- What amazes us today, isn't Civilization beginning but its END; it is what A BLACK MAN left to the Humanity so we could start over, a legacy so to speak.

- The World today hasn't even scratched Ancient Civilization's Technology surface: we are still crawling towards Knowledge.


Just to name a few, kindly refer to what these modern scholars say about the ANCIENT WORLD:


- Sheik Anta Diop on Ancient Egypt
- John Anthony West on Ghiza
- Claus Schmidt on Gobekli Tepe, Turkey.
- Robert Bauval on Khufu Pyramid, Cosmology and Anthropology(Egypt)
- Brien Foerester on Ancient Latin America, i.e Peru & Maya Empire
- Graham Hancock (Egypt & Peru)
- Robert Schoch on The Sphynx
- Randall Carlson on World's calamities.

Kuna mengi ya kujifunza kupitia hawa wasomi na watafiti wa leo. Na zaidi, tumtafakari Napoleon Bonaparte alipo fika Egypt na kuyaona hayo majengo, na kipi kilitokea? Kipi kilimhamasisha kuifanya expedition hiyo?

Itaendelea...
 
Nadharia mfu, haina mashiko hata chembe! Hayo yote yametengenezwa ili kuonesha uwezo duni wa mtu kipindi hicho, ili wao waonekane wameweza sana: na si kweli. Mtu, khususan MWEUSI alikuwa na ujuzi wa hali ya juu, ujuzi huo hata leo hakuna!


Mtu mweupe anajikweza kwa wizi wa sayansi na teknolojia, na kuijenga superiority dhidi ya ulimwengu mzima. Na aliijenga mikakati mibaya zaidi kwetu sisi weusi hadi leo.


Kuna matukio kadhaa yaliyo tusibu tokea miaka 15 elfu BC; Gharka tofauti tofauti, ndani ya vipindi tofauti, dharuba za moto, maji, upepo, joto kali mno, baridi kali, meteorites kubwa kubwa, ute wa jua(sun plasma) vilivo iangukia dunia na kusababisha vifo na kuyeyuka kwa vitu, magonjwa etc...

Lakini mtu aliweza kuyatabiri hayo madhila yote, akaweza na kujilinda kwa kiasi chake na kueshi zaidi ya miaka elfu katika hizo nyakati ngumu mno! Kafaulu pia kustahamili, na kutuachia huo utaalam kupitia majengo yaliyo salia leo. Majengo hayo, yanazitoa taarifa za kusisimua na kustaajabisha. Asilimia kubwa ya hizo taarifa hazina ufafanuzi maridhawa. Theories nyingi ni usanii mtupu.



Yote wanayo jinasibu wazungu kwayo, si yao, ni yetu sisi kwa ushahidi dhahiri: MZUNGU HAJAANZISHA LOLOTE, HAJAVUMBUA CHOCHOTE, HANA JIPYA NA ASHAA KIRI HAJATOKA KWENYE KIWANGO CHA LAMI, ILI AJISIFU KUWA KAMZIDI MTU MWEUSI: ISOME ANCIENT WORLD(BLACK LEGACY TO THE HUMANITY)


KUNA HARAKATI LUKUKI AMBAZO MTU MWEUPE ALIASISI ILI KUKUZIMA KWANZA WEWE MTU MWEUSI, HALAFU NA WOTE WASIYO FANANA NAE... DHAMIRA YAKE NI USIRUDI ULIPOKUWA KABLA YA MASWAIBA HAYO KUKUFIKA, AU UBAKI CHINI YAKE.


KWA SASA HISTORY ILIYOPO NI TOFAUTI NA ILE WALIYO IBUNI KWA KUFICHA UKWELI, NA HAWATAKI TUU KUIBADILI KWA SABABU YA FAIDA ZAO BINAFSI. ILA USHAHIDI WASHAA KUWA NAO.
 
hata sisi tulikuwa na mwanamalunde



Huyu mbona mwenzetu wa juzi tuu? 19th century... Mtumiaji wa matunguli.

Itafute History ya Kilwa, Rhapta... In short, Pemba na Unguja ya 7th Century. Uhai bora tulio kuwa nao (sayansi na teknologia) hapo mzungu bado analala kwenye mapango, au nyumba za magogo ya miti kwa paa zilizo funikwa kwa nyasi.
 
Back
Top Bottom