Niliona documentary moja jinsi walivyojenga Pyramidy na kuvumbua maandishi..Tani saba tofali moja walikuwa wanabebaje sasa.
Watu wa namna hii ndio huwa nawakubal kwenye maisha kudos mkuu kwa kwenda extra milehapo kwenye uzito wa pyramid kuna ukakasi kidogo maana umesema ina uzito wa tani milioni 6.5 na ilitumia tofali milioni 2.3 na kila tofali 1 lina uzito wa tani 7 nikizidisha idadi ya tofali na uzito wa kila tofali napata ivi 2.3 milion × tani 7= tani milioni 16.1
Imagine pamoja na innovations zote tulizofanya, bado tuko amazed na hizo pyramids, naamini vizazi vingi badae watashangaa bado ,na si hizi za kwetu sasa.Kila zama na maajabu yake wao walijenga hilo pyramid wa sasa wana 3D screens, wana Instagram n.k
Usisahau colour pictures
Hahahaha mkuu kwamba wataona ni vijumba vya midoli au?Wakifufuliwa hiv leo na kuyaona majengo ya Udsm,wanaweza kucheka mpaka kufa!
Jinsi binadamu wanavyozidi kuishiwa ngubu kufikia mwaka 2200 kitofali cha kuchoma watakua wanabeba watu wawiliHii historia ya ujenzi wa piramid za misri ni moja ya mambo yanayo nipa ukakasi,na hii inatokana na elimu iliyotumika,nguvu zilizotumika,teknolojia n.k hebu fikiria tofali la tone saba kwa binadamu ambaye hata baiskeli alikuwa haja vumbua aliwezaje beaba tofali hilo kuna mambo mengi ya kujifunza kama teknolojia yetu ya sasa inasonga mbele au inarudinyuma miaka mingi kabla hata ya mapiramida ya misri.
walikuwa watumwa tu,injinia wamisri wenyewepyramid zilijengwa na waisrael walipokuwa utumwan misri kwahyo hapo pongezi ziende kwa wayahudi
Ooh Swali Nzuri Sana, Mzee hapo kwenye Uzito wa pyramid nilikuwa nazungumzia Lile Pyramid Pekee! Bila Msingi wake Ardhini na Makaburi yaliyo chini yake! Ukubwa Wa Pyramid unaoonekana nje unakaribiana na ukubwa Kwa chini yake. huko ndiko kuna makaburi mengi Nadhani tumeelewana. Asantehapo kwenye uzito wa pyramid kuna ukakasi kidogo maana umesema ina uzito wa tani milioni 6.5 na ilitumia tofali milioni 2.3 na kila tofali 1 lina uzito wa tani 7 nikizidisha idadi ya tofali na uzito wa kila tofali napata ivi 2.3 milion × tani 7= tani milioni 16.1
Hapana Mbona Mummy's Kule Egypt za Kale watu wake ni sawa tu na wa leo!Wa2 wa zamani walikuwa ni ma-giant sana,unaweza kuta m2 mmoja ni sawa na muunganiko wa watu mia moja wa hivi sasa,kwa kuwa kuna baadhi ya maandko yanadai kuwa hata Ibrahim (Baba yetu katka imani walikuwa na urefu wa futi 12) na Ibrahim nadhani alizaliwa baadae sana Wamisri wakiwa tayar wameshajenga hizo Pyramids (but I am not sure with this phenomenon)
Pia,yaaminika mwanadamu alianza kuwa mfupi na kuwa na akili (ufaham na utashi) kidogo baada ya kutenda dhambi so,sishangai!
Hakuna makaburi chini ya piramidi. Piramidi zilijengwa kama kaburi la mfalme mmoja, labda pamoja na malkia wake. Basi. Hapo walichagua nafasi inayoonekana vizuri na pia ambako mto (njia ya maji) si mbali.Ooh Swali Nzuri Sana, Mzee hapo kwenye Uzito wa pyramid nilikuwa nazungumzia Lile Pyramid Pekee! Bila Msingi wake Ardhini na Makaburi yaliyo chini yake! Ukubwa Wa Pyramid unaoonekana nje unakaribiana na ukubwa Kwa chini yake. huko ndiko kuna makaburi mengi Nadhani tumeelewana. Asante
Hii ni Great Pyramid, Unaona nini Chini ya Pyramid?Hakuna makaburi chini ya piramidi. Piramidi zilijengwa kama kaburi la mfalme mmoja, labda pamoja na malkia wake. Basi. Hapo walichagua nafasi inayoonekana vizuri na pia ambako mto (njia ya maji) si mbali.
Kama kweli kaburi lingepatikana chini ya piamidi basi sababu yake wakati wa kujenga kaburi ilikuwepo tayari kwa bahati so kwa kusudi.
Kitu kingine ni makaburi ya kifalme chini ya ardhi au katika mapango ya mtelemko wa mlima jinsi ilivyo huko Luxor katika Bonde la Wafalme (Misri Kusini) lakini hizi si piramidi.
unashangaa kubeba tu, mi nashangaa hata kufyatua walifyatuaje[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hii historia ya ujenzi wa piramid za misri ni moja ya mambo yanayo nipa ukakasi,na hii inatokana na elimu iliyotumika,nguvu zilizotumika,teknolojia n.k hebu fikiria tofali la tone saba kwa binadamu ambaye hata baiskeli alikuwa haja vumbua aliwezaje beaba tofali hilo kuna mambo mengi ya kujifunza kama teknolojia yetu ya sasa inasonga mbele au inarudinyuma miaka mingi kabla hata ya mapiramida ya misri.